Ili TNG ife lazim ZNZ ikubali kufa na tuuwe Jamhuri ya MUUNGANO wa TZ tuwe na JAMHURI YA TZ tu. TNG iko hai na haitokufa mpaka ZNZ ife. 🤣🤣 TNG imebandikizwa jina jengine tu ... Tanzania BARA. Lakini it is ALIVE and KICKING! 🇹🇿 ni MUUNGANO WA NCHI MBILI!
Leo tunaulizana "Where were you when Cybercrime Law passed?" wengine mnainamisha vichwa na kujikausha but you were on the wrong side of history.
Kuna siku tutaulizana "Where were you wakati #UhuruWetu uliminywa kabisa?"
Make sure you stand up and be counted this time!
Katika maisha kila mtu ana mitego yake ya kutafuta mafanikio. Wakati unafukuzia mtego wako zingatia, heshimu na kuwa makini na mitego ya wenzako. Kumbuka, si kila unapoanguka umetegeshewa, wakati mwingine umepamia tu mitego ya wenzako kwa papara zako.
Ndio athari ya kuchaguwa mwanasheria mkuu asiyekuwa na qualifications. Anatuvalia SUTI huko @bunge_tz halafu anasema ZNZ sio kwenye Muungano. Basi huo Muungano ulikuwa wa TANGANYIKA na NANI? Kama sheria ya VAT imemshinda kutafsiri hata HISTORIA ya Hii nchi haijui? 🤣🤦🏻♀️
Raia wa Kenya, @bonifacemwangi akikataa kupisha msafara wa kiongozi ambaye hakufahamika mara moja. Amesema yeye hutoa njia kwa magari yanayobeba wagonjwa na zimamoto, na huwazuia wanasiasa na viongozi wengine wanaopenda kutumia ving'ora kukwepa foleni.
Ni rahisi kuchambua mapungufu ya #TaifaStars uwanjani lakini naomba tusilalamike sana. Hebu tutazame kikosi cha Senegal kisha tukitathmini na chetu. Wachezaji wao wapo Barcelona, Liverpool, Everton n.k. Ukiacha uwezo (skill) wenyewe, uzoefu (experience) na EXPOSURE ni kila kitu!
Wachezaji wa senegal wana mishahara mikubwa, wanafundishwa na waalimu wakubwa, wametoka ligi kubwa, wana ma experience makubwa.........kuna mtu wa Barcelona pale.......alafu unataka kuilaumu stars hakuna miujiza...ndio tumeanza tukifikisha wachezaji 7 ligi kubwa duniani tutaongea
When we hear bad about others, we're so quick to believe it. But when we hear good about them, we find it hard to believe. It shouldn't be so for a true believer. Don't believe the bad about others until it’s proven beyond any doubt & if it doesn't concern you, stay out of it.
Tumekumbwa na Msiba wa Dkt Badriya Abubakar Gurnah, Dada yetu,Shemegi yetu,Tabibu wetu mke wa Dkt Abdulla Mabodi Naibu Katibu Mkuu wa @ccm_tanzania
Atazikwa Leo katika makaburi ya kisutu kufuatia sala ya Jeneza itakayosaliwa Masjid Maamur UPANGA. Inalillah waina ilaihi rajiun
Who lifted you when you were discouraged? Who found a way out for you when you thought it was a dead end? Who provided for you when you didn’t think you could make it through the day? Remember, the Almighty has brought you this far. He will keep you going! Trust!