JUKWAA LA UZALENDO NA MABADILIKO
1. On X https://t.co/grSXhF870S
2. On Instagram https://t.co/jjHhUaHkXS
3. On Youtube https://t.co/17uYOcrkET
4. On Facebook https://t.co/SsaZh4UqPP
5. On Ticktock https://t.co/UmgYXIZivQ
#UzalendoNaMabadiliko#HakiNaUwajibikaji
TUJISAHIHISHE
Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kina Kila Sababu ya Kujitahimini na Kujihuisha Upya
Tuwasihi na Tuzisihi Nafsi Zetu
#UzalendoNaMabadiliko#AmaniNaHakiKwaWote
Uzalendo sio kupenda Vyama vya siasa, viongozi ama seeikali bali uzalendo ni kupenda Taifa. kwani Vyama vya siasa, Viongozi ama serikali hupita na Taifa letu la Tanzania litaendelea kuwepo
#UzalendoNaMabadiliko#TaifaKwanza
Kwa niaba ya wananchi wenye nia njema, tunatoa salamu za pole kwa familia, ndugu, na jamaa wa Ndg. Humphrey Polepole, kufuatia taarifa za kutoweka kwake ambazo zimezua taharuki na wasiwasi mkubwa katika jamii.
Tunatoa pole za dhati kwa wote wanaoguswa na tukio hili.
Mada: “Maridhiano Baada ya Uchaguzi: Njia ya kujenga umoja au kikwazo cha ushindani wa kisiasa?”
Namna ya Kushiriki
1. Uta Scan QR Code iliyopo kwenye bango hili itakuleta moja kwa moja kwenye mkutano
2. Utabonyeza link ifuatavyo 👇https://t.co/ojyVdwTvah
Mada: “Maridhiano Baada ya Uchaguzi: Njia ya kujenga umoja au kikwazo cha ushindani wa kisiasa?”
Namna ya Kushiriki
1. Uta Scan QR Code iliyopo kwenye bango hili itakuleta moja kwa moja kwenye mkutano
2. Utabonyeza link ifuatavyo 👇https://t.co/ojyVdwSXkJ pia itakuleta
1. Scan QR-code ili kufungua link
2. Au bonyeza moja kwa moja 👉https://t.co/TGEBfFY7k8 itakuruhusu kwenda kupakia na kupakua bango lako
3. kwa kufanya hivyo utakuwa umeshirki kikamilifu kampeni hii yenye lengo la kuleta uelewa wa pamoja na kuondoa upotoshaji kuelekea Oktoba-29
Nchi zilizoendelea zimejikita katika kuwatumia wasomi wao katika nyanja za sayansi na teknolojia ili kusukuma gurudumu la maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Hali ya Afrika kwa sehemu kubwa bado inawaona vijana wasomi kama rasilimali ya kisiasa zaidi kuliko injini ya ubunifu.
Kwa nini mchakato wa Mwanzo wa maridhiano chini ya falsafa ya 4R's ulifeli?
Kuna nyakati tunahitaji kujua kwanini tulifeli ili tukianza tusikosee tena
Na nivema tunapo ridhiana ili kujenga umoja wa kitaifa imara, wapatanishi wasiwe wenye itikadi au milengwa ya kisiasa/kivyama
Swali linalojitokeza ni iwapo wananchi pamoja na wanachama wa CHADEMA, ambao walipuuzwa kabla na wakati wa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Je, watakuwa tayari kushiriki katika mchakato wa maridhiano utakaoandaliwa na serikali itakayoundwa na CCM mara baada ya uchaguzi
Mada: "Mageuzi ya Kisiasa Tanzania: Je, Balozi Humphrey Polepole Anafungua Ukurasa Mpya au Anarejea Uongozi wa Zamani?"
Vijana wa Vyuo na Vyuo vikuu, wazalendo na watanzania wote mnakaribishwa kuhudhuria mdahalo huu maalum utakao lenga kujadili ajenda mseto za Ndg Humphrey