Tunaruka na chanyumbani!
Huduma za Vaigo zipo kwa jirani hapo mtaani kwako! Tuma na kupokea mzigo wako kutoka pembe zote Tanzania kwa kutumia wakala wa Vaigo wa karibu na nyumbani.
Tupigie kwa kutumia +255715881342 au pitia VaiGo app sasa!
#tumanakupokea#tumamzigo#VaiGo
Duh! Mizigo imeharibika wakati wakusafirisha!
Unavyo fungasha, ndivyo inavyo safirishwa. Huduma za usafirishaji hazichukui hatua za kudhibiti usalama wa mizigo yako.
Vaigo, tuna vifaa bora zaidi vya kuhakikisha mizigo, vifurushi au maboxi yako yanafika bila uharibifu.
#VaiGo
Wateja wako wengi na unahitaji kusafirisha bidhaa za wengine leo?
Tupo kwaajili yako! Usiende mbali, chomoka chap uende jirani kutuma order za mikoani bila kuwaweka wanao kusubiri oficini!
Tupigie kwa kutumia+255715881342 au pitia VaiGo app sasa!
#okoamdaa#savetime#VaiGo
Extreme cold and hot weather causes shipment delays and rain season causes traffic or damaged wet goods.
With the convenience of your neighborhoods Vaigo shipping service, you can quickly send and receive packages while avoiding the chaos of bad weather.
#VaiGo
Umechoka kwenda mbali kutuma mizigo yako?
Vaigo tumekufuata mpaka mtaani! Pakua app kujua wakala wa karibu yako, ili tukuwezeshe kutuma mzigo kwa urahisi, uharaka na unafuu zaidi.
Tupigie kwa kutumia +255715881342 au pitia VaiGo app sasa!
#usafirishaji#mzigo#mizigo#VaiGo
Unapo amini huduma za VaiGo na mizigo yako, unajiweka huru kujishughulisha na biashara yako kuu!
Kuanzia wakala, madereva na watoa huduma wetu, uhifadhi wa mizigo na uwekaji ni sahihi, kuepuka uharibifu wa aina yeyote!
Tupigie +255715881342 au pitia VaiGo app sasa!
#VaiGo
Mizigo yako imewahi kupotea au kuharibika?
Sababu moja kuu ni ufuatiliaji(tracking) system zisizoaminika.
Tracking hutumika kwa uchunguzi wa watu au vitu kwenye harakati na kusambaza kwa wakati.
VaiGo inatumia tracking system ianyo kuhakikishia huduma kamilifu!
#VaiGo
Customer service is the assistance & advice provided by a company which in turn gives you less worry.
VaiGo has top shelf customer service so you don’t worry about your package!
Send your package, parcel or luggage using our app, nearest agent or call +255715881342.
#VaiGo
Ukihitaji kutuma au kupokea mzigo wako kwa usalama na uharaka kwanini usimuamini jirani yako?
Tunapokea, Tunatuma, tunafunga na tunawasilisha mkoa kwa mkoa kutumia wakala wa VaiGo ambaye ni duka la karibu yako mtaani!
Tupigie +255715881342 au pitia VaiGo app sasa!
#VaiGo
Pata suluhisho rahisi, la kutegemewa na la bei nafuu la usafirishaji wa mtaani!
Ukitumia huduma za VaiGo unapata uhakika wa huduma ya kinyumbani kabisa kupitia wakala wetu.
Tupigie kwa kutumia +255715881342 au pitia VaiGo app sasa!
#app#delivery#usafirishaji#mizigo#VaiGo
Focus on your ecommerce or online business as we will handle all your deliveries seamlessly using our direct Api's you can get features like:
1. Order Tracking, 2. Get delivery quotations, 3. Order requests and management, 4. Accounts Reconcilliations
#tanzania#logistics#vaigo
Mikoani pia tupo na haijawahi kuwa rahisi hivi, sasa unaweza kutuma mizigo mikoani na ukamfikia mteja wako mpaka nyumbani
Tembelea kituo chetu cha huduma au tupigie kwenye namba +255715881342 kupata huduma hii
#mikoani#dodoma#arusha#mwanza#mizigo#vaigo#tanzania#logistics
Tunafurahi kuwajulisha kuwa tumefungua kituo chetu cha huduma dar free market mall,
Karibuni Kwa ajili ya huduma ya kutuma na kupokea mizigo yako ndani ya dar es salaam, mikoani na nje ya nchi.