Kukata tamaa ktk kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa ajili ya haki ni Faraja kubwa sana ya moyo. Hata wanaofikiri sisi ni maadui zao wanapaswa kujua kuwa sisi ni marafiki zao na jitihada zetu ni kwa ajili ya watoto na wajukuu zao pia. Tuko nje kwa dhamana.
Jana usiku wamemteka Ramson wa TikTok tizama frame no. 2 kuona video yake
Serikali ya Idd Amin Mama inafanya yote haya ili kutisha watu waogope kuandamana Oktoba 29, kitu ambacho hawajui haya mambo ndo yanazidi kuchochea na kutupa sababu nyingine ya kuandamana.
Oktoba 29, tutakomboa nchi yetu na ndo itakuwa mwisho wa watu kutekwa na kupotezwa.
Naandika kuhusu uwozo wa serikali mnaturudisha kwenye zama za ubepari wachache ndo wenyewe mali wananchi hamtujali, Naandika kuhusu dili za magendo kama meno ya tembo na pia viongozi wasio na malengo walokosa uzendo, Naandika kuhusu gesi,mbuga,ardhi na madini.... #MaalimuNashi
Samia hapa ndipo mnachemka vibaya sana na kutoonyesha mnataka kutumia SURA ya Benard kupoteza hoja kwamba Magufuli alishambuliwa na wana mtandao, mambo kama haya mnafanya wanafanya watu wenye Hati
Kwa nini leo wakati kuna Capt Tesha na Polepole wanasema Magufuli ameuwawa nyii mnamweka Benard kujibi hoja zao kwamba wanafanya Harakati na siasa!!?
Wakati yeye ndiye alikuwa mlinzi wa Magufuli moja kwa moja ni shahidi muhimu kama kuna uchunguzi sasa hii kuzungumzia suala hili hilo sio kujaribu kuficha kitu?
JWTZ mnaruhusu vipi Benard kuzungumzia haya mambo yanayomgusa kwenye majukumu yake?
Kuna kosa lolote kuwa mwana siasa au mwanaharakati? kwa nini jeshi linakemea harakati?
Benard kimaadili kaa mbali na suala linalohusu tuhuma za Magufuli kuuwawa, kuzijibu unatupatia maswali mengi na mashaka, wanakuweka hapo kama image kujaribu kuadaa umma kwamba hakuna lolote maana mbona huko nao, hii ni kununua sura yako kujisafisha, acha mara moja huu mchezo unachezeshwa hapo kama umeamua kuzungumza basi zungumza wazi wazi kuhusu kifo cha Magufuli na utuambie siku hiyo kulitokea nini, kama uwezi kaa kimya
Mafwele! Mafwele! Mafwele!
Ulifadhaika sana wakati wananchi walianza kumtumia ujumbe binti yako anayesoma Afrika Kusini - ila wewe ndo huoni uovu kuumiza binti za wenzako?
Hebu achana na huu ushetani wa kuumiza watu!
Mwachie huyu Frida aka Farida Mikoroti mara moja!
Unafanya haya kwa faida ya nani?? Mungu hatawaacha salama!
#FreeFarida #FreeFrida
‼️🚨FARIDA INASEMEKANA YUPO CENTRAL APEWE MSAADA🚨‼️
Wapendwa nimepewa taarifa Farida yupo Central na wanataka kumcharge na makosa ya mitandao
Anahitaji msaada wa kisheria
🙄 pia watu wamtie machoni wahakikishe wanamwona maana washenzi hawa wasiwe na mpango wa kumwumiza!
#FreeFarida
Free Kiduku aka Ofsa Ngiri.
Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu.
Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti.
Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.
#FreeKiduku@TanzaniaOneJezi