🚨 𝐄𝐗𝐂𝐋 - Simba Sc 🇹🇿 imefanya mazungumzo chanya na Mshambuliaji wa kati Ibrahim Doumbia kutoka AS Kôrôfina ya Mali 🇲🇱
Ofa iliyopo mezani ni mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mmoja mwingine.
🏟️ Mechi: 2️⃣4️⃣
⚽️ Mabao: 1️⃣7️⃣ (Top Scorer)
🅰️ Assists: 5️⃣
🚨UPDATES
MPANZU IS NOT FOR SALE……..
🇲🇦Za ndaani zinasema Club kubwa kutoka Morocco walipiga hodi msimbazi kuulizia uwezekano wa kupata huduma ya kibisawala, lakini simba wamesema NO
🚫Simba Sc hawako tayari kuuza wachezaji wao muhimu kwani wana mpango mzito kwa msimu unaoanza🙌🏻
Za Kikachero! Naambiwa Singida BS wamevunja mkataba wa mchezaji Ladack Chasambi kwa kuilipa Simba SC Tsh 60,000,000 na kumsajili Chasambi kwa kandarasi ya miaka 3 kwa thamani inayoripotiwa kuwa Tsh 200,000,000.
🚨 EXCLUSIVE: Mas Fés 🇲🇦 imetangaza kuvunja mkataba wake na kocha wao mkuu Pablo Franco Martín 🇪🇸 kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kocha huyo kushinda Kombe la Ligi Kuu ya Morocco! 😳🔥
Pablo Franco Martín aliwahi kuitumikia klabu ya Simba SC 🇹🇿 mwaka 2021-22.
SIMBA SC X KELETSO 🤝
Winga Mpya wa Simba SC, Msouth Matlala Keletso Makgalwa anatajwa kuwa ndio usajili ghali kwa miaka ya hivi karibuni ndani ya Simba SC.
Matlala Keletso Makgalwa atakuwa ndio mchezaji ghali zaidi kwenye kikosi cha Simba SC.
🚨UPDATES
Simba SC kumbakiza Anicet Oura, ili kukamilisha malengo waliyojiwekea ya kutwaa taji la Ligi Kuu na kufanya vizuri kwenye CAF CL
Maamuzi yamechukuliwa kwa pamoja kati ya Mchezaji, Uongozi na Benchi la Ufundi
✅Oura bado yupo Msimbazi
Leo saa 7 mchana tukiwa na makombe yote tuliyotwaa msimu huu tutatambelea Maonesho ya Sabasaba 2026 kwenye eneo la ofisi za TanTrade. Tunawakaribisha mashabiki wote wa Simba kuja kusherekea nasi. #NguvuMoja
🚨 SIMBA iko kwenye moto sana, inapiga inavyotaka, ikionyesha ubora mkubwa uwanjani lakini nyuma ya mabadiliko hayo kuna huyu Steve Barker.
Barker ameiongoza Simba kucheza jumla ya mechi 30 bila KUPOTEZA.
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Italia, Gennaro Gattuso ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Lazio ya Serie A, akichukua mikoba ya Maurizio Sarri ambaye aliteuliwa kuwa kocha wa klabu ya Atalanta.
Gattuso 48, ambaye amewahi kuvinoa vilabu vya AC Milan na Napoli zote za Serie A, akiiongoza Napoli kutwaa kombe la Italia mwaka 2020 amesaini mkataba wa miaka miwili.
Kiungo huyo wa zamani wa AC Milan na timu ya Taifa ya Italia alijiuzulu kama kocha wa Italia mnamo Aprili baada ya Italia kushindwa kufuzu Kombe la Dunia kwa mara ya tatu mfululizo.
#KitengeSports