Alichofanya jana MWAKINYO hii ndio tafsiri kubwa ya "CHAMPEZ".
KATIKA NYAKATI HIZI ZA GIZA mwamba kaweza kuonyesha mapenzi yake ya wazi kwa Tundu Lissu ambae anasubiri KUNYONGWA na wakoloni weusi.
Kafanya kwa mapenzi yake kwa CHADEMA kwa kuvaa Bukta ya rangi za CHAMA hii ni zaidi ya upendo kwa chama na kwa wapenda haki.
Katoa POLE YA KWELI kwa watu wote waliopoteza wapendwa wao kwenye maandamano ya OKTOBA 29 hii ni mapenzi kwa watanzania wote hata wasio na vyama.
Jumbe hizi 3 na umuhimu wa siku yenyewe ni ujumbe mkubwa sana kwenye Safari ya kupigania HAKI. Naamini huko walipo WAKOLONI WEUSI WANASONYA TUU.
Walijua Mwakinyo ni CHAWA WAO watamtumia kama CONDOM ZAO "ZA NGUMI YA MAMA".
Asante CHAMPEZI umeongeza Mashabiki wengi zaidi jana na milele. Tunafurahi kuongeza mtu mashuhuri kama wewe kwenye list ya WAPIGANIA HAKI. TUTASHINDA HII VITA MZEE SISI NI WENGI SANA KULIKO WAO.
TUTAKUWEPO🫵😎
BAADA YA KUMALIZA KUMCHANGIA BARAKA (ALIEVUNJWA MIGUU YOTE) 15M-WATANZANIA WAKAMKUMBUKA NA JOVIN (ALIEKUWA ANAMBEBA GEREZANI NA MAHAKAMANI).
Siku ya jana wapenda HAKI waliamua Kuandamana kwa MIAMALA NA kuhakikisha wanamkumbuka JOVIN kwa kumsapoti kwa upendo alionyesha wa kumjali mtu asiemjua alievunjwa miguu yote na jeshi la polisi akilu yeye ni MUHAINI.
Kwa masaa 19 watanzania waliweza kuchanga zaidi ya MILIONI 10 kama pole na asante kwa upendo wake alionyesha. Hakika haya ni zaidi ya MAANDAMANO kwasisi wapenda HAKI.
Mungu akawabariki kila mmoja alipotoa akaongezewe. Safari ya kupigania haki inaendelea.
TUTAKUWEPO🫵😎
UPDATE YA MICHANGO YA CATHERINE NA FAMILIA YAKE.
MPAKA ASUBUHI HII WATANZANIA WAMECHANGA MILLION 10, TUMEVUKA MALENGO MARA 2 KWANI TULILENGA KUKUSANYA TSH. MILLION 5. MUNGU YUPO UPANDE WA WANANCHI, SISI NI WASHINDI.
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
REPOST 300
TUTAKUWEPO🫵😎
Wanaume linapokuja swala la kuvunja mahusiano kama bado game haujaijua lazima ikutese tofauti kabisa na mwanamke.
For ladies huwa always wapo targeted meaning that una date nae ila kuna msululu wa watu wamtongoza especially kama ni mzuri.
So the moment unaachana nae anachagua sub moja anaishi nayo chap, tena kama hana akili ndio anadate na mtu akukomoe.
For men kama haukuwa na option inaweza kukutesa sana sana maana unakuwa unamiss mambo mengi pengine ulikuwa umemzoea demu wako na ma charity ( hongo) unayokuwa umemfanyia.
Kama unaona mama inazingua au imeanza mabadiliko simply fanya mambo kadhaa.
I. Unsave namba yaani isiwe na jina lolote, usivie ata statuses zake, chats ziache ili ata akikucheki usisumbuke kujua ni nani. (Kufuta huwa sio option yangu)
Futa hata ma picha yatakayokupa emotions.
II. Usiwe unatuma long text kujieleza sana take easy Improve yourself kabla ya kutafuta mama nyingine.
III. Avoid kumcheki kabisa yani ata akikucheki iwe yeye sio wewe umcheki afu convo iwe fupi usijieleze hovyo
IV. Kama mnasoma pamoja vibe kama kawaida yaani asione upo kinyonge atakama unaumia.
V. Get money.
VI. Soma vizuri namba moja.
BONUS.
USIKARIRI NAMBA YA DEMU WAKO HATAKAMA UNAMPENDA KIASI GANI,
Tunakariri namba ya mke sio mpenzi wa kawaida, ukiikalili inakuwa ngumu kumuacha trust me lazima uta simp tu.
Umewahi shinda nyumbani siku nzima hadi ukachoka?
Imagine uwe huna simu, tv, kitanda, kiti. Uko peke yako room ya futi 4/8, huoni nje, huonani na mtu, hujui kinachojiri duniani.
Tundu Lissu yuko katika hali hiyo zaidi ya mwezi. Ni mateso makubwa kisaikolojia. Hayafai!!
🚨🚨🎙️| Scott Mctominay when asked that players leave Manchester United and get better:
“I disagree. It’s too easy of an excuse. I think it’s too easy to say that.”
“Whenever I was there they helped me with everything. Tactically, training, nutrition, everything is there for you to succeed.”
“It’s not like they don’t give you certain things that other clubs do, it’s a myth.”
“Because the spotlight is directly on you, it makes it seem a lot worse. In my last year I did well, scored 10 goals and we won a trophy.”
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
@255Shedu Hii saga si ni ya kitambo mzee? Kwani hii ni sare ya kwanza tunapata msimu huu? Mbona tumefungwa na everton na hukuskia akiongea,kwanini kwenye sare tena aliyofunga na perfomance kubwa ionekane anatoa milio?
Watanzania kukosa maji liwe ni kosa la jinai.
Dar es Salaam mahitaji yake ya maji kwa siku moja ni lita milioni 570. Uwezo wa uzalishaji wa maji kwa siku moja katika jiji la Dar es Salaam ni lita milioni 530.
Huu mgao mkubwa wa maji mkubwa unaendelea Dar es Salaam ni kwa sababu kuna upungufu wa lita milioni 270 za njia ya mitambo ya Ruvu chini kutoka Mto Ruvu.
Mradi wa maji Kimbiji, Kigamboni unachangia lita milioni 70 pekee. Hivyo, Ruvu Chini unatoa lita milioni 270 + Kigamboni lita milioni 70. Jumla ni lita milioni 340.
Lita za maji zilizobaki zinachangiwa na mitambo ya Ruvu Juu. Kigamboni ndiyo backup iliyobakia kwa sababu inaleta lita milioni 70 kutoka ardhini, siyo mtoni.
Mwaka 2006 kulifanyika utafiti wa kutambua vyanzo vya maji vinavyoweza kutumika kutoa huduma ya maji Wilaya ya Kigamboni ili kukidhi mahitaji ya watu.
Walitafiti uwezekano wa kutoa maji baharini, kutoa maji katika mtambo wa Ruvu juu au chini, na tafiti nyingine iliangalia uwezekano wa kutumia maji kutoka ardhini.
Tafiti iliitwa ‘Future Water City’ ilibainisha, matumizi ya maji yaliyopo ardhini ndio njia pekee sahihi, nafuu na yenye ufanisi itakayoweza kufikisha maji kwa wakazi.
DAWASA iliipa kazi kampuni ya Serengeti kuchimba visima 3, vya majaribio vyenye kina cha mita 600 kwenda chini kubaini eneo linalotoa maji kwa wingi.
Kupitia utafiti wa Future Water City, walibaini eneo la Kimbiji–Kigamboni lililoonekana kuwa na kiwango kikubwa cha maji chini ya ardhi (ground water).
Machi 2013, DAWASA ilisaini mkataba na kampuni ya Serengeti kuchimba visima 20 vya kuzalisha maji kwa gharama ya TZS 26 Bilioni kata ya Kimbiji na Mpera.
DAWASA ilitilia saini na M/s Advent construction Ltd kwa ajili ya ujenzi wa tanki kubwa la kuhifadhi maji la lita milioni 15 linalojengwa kwenye eneo la Kisarawe II,
Pamoja na kazi ya ulazaji wa bomba lenye urefu wa kilomita 5.7 kutoka kituo cha kusukuma maji hadi kwenye tanki kubwa la maji ambalo lipo Kimbiji.
Ujenzi wa tanki la maji Kimbiji, Kigamboni uligharimu kiasi cha TZS 26 bilioni. Mradi huu ukazinduliwa 11 November 2022. Ndiyo unaosambaza lita milioni 70.
Dar es Salaam yenye wakazi 5,383,728 (8.7% ya watanzania wote) kutegemea maji ya mto Ruvu ni kosa kubwa ambalo Serikali timamu ilitakiwa kufikiria.
Population growth ya Dar es salaam inazidi kasi na uwezo DAWASA katika kutafuta suluhusho la kudumu kwa mahitaji ya maji kwa wakazi wa Dar es salaam.
Mabadiliko ya tabia nchi hayatoi uhakika wa kupatikana kwa mahitaji ya maji sasa na miaka inayofuata. Mvua zinaweza kupotea kwa muda mrefu, mito itakauka.
Kama Dar es Saalam inaishi kwa mradi mmoja wa Kimbiji unaozalisha lita milioni 70, uliojengwa kwa TZS 26 bilioni? Vipi ingelikuwepo miradi 10 kama hiyo?
Kukosa vipaumbele. Uwekezaji mdogo Kigamboni visima 15 pekee vinavyotoa lita million 70 kwa siku. Vipi kama wangelikuwa na visima 200 vya kuzalisha maji?
Tanki kubwa la kuhifadhi maji la lita milioni 15. Hivyo, wanajaza tanki hilo kwa siku mara 5 ili kupata ujazo wa maji lita milioni 70, ambazo ndiyo tunapata mgao.
Ujenzi wa Jengo jipya la DAWASA umegharimu TZS 48 bilioni. Kama kipaumbele kingelikuwa ni maji kwa watu wa DSM, pesa zingejenga matanki mawili ya maji.
ATCL na TRC wamesababisha HASARA ya TZS 315.8 bilioni kwa mujibu wa taarifa ya CAG. Hii hasara ingeliweza kujenga matanki 12 kama ya Kimbiji.
Hasara jumuifu (accumulated losses) ya (ATCL) kutoka mwaka mwaka 2014/2015 hadi mwaka 2023/2024 jumla ni TZS 671.98 Bilioni iliyosababishwa na ATCL.
TZS 671.98 Bilioni unajenga matanki 25 kama hayo ya Kimbiji - Kigamboni na miaka 1,000 inayofuata huwezi kusikia Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umelipa vituo vya afya huduma HEWA ya Sh14 bilioni. Unalipa huduma hewa wakati wananchi hawana visima vya maji?
Taarifa ya CAG 2021/22 (NHIF) ulipata hasara ya zaidi ya TZS 204 bilioni kwa kufanya malipo hewa na marudio ya malipo huduma kwa mtu mmoja kwa wakati mmoja.
Hizi TZS 204 bilioni ambazo ni hasara ya NHIF, zingelielekezwa kujenga matanki ya maji kama ya Kimbiji, tungefanikiwa kupata matanki 7 ya maji
Mradi wa maji Kigamboni – Kimbiji ulilenga kusambaza huduma ya maji kwa wakazi wapatao 250,000 pindi mradi huo utakapokamilika mwezi Disemba 2022.
Lakini sasa mradi huo ndiyo unalazimika kusambaza huduma ya maji kwa wakazi wapatao 5,383,728 (8.7% ya watanzania wote). Lazima mgao wa maji uwe mkali.
Mahitaji ni lita milioni 570. Maji yanayopatikana sasa ni lita milioni 70, ambayo yalitakiwa kuhudumia watu 250,000 lakini sasa yanahudumia watu milioni 5.4
Inakadiriwa kwamba, ifikapo mwaka 2050 kutakuwa na watuamiaji wa maji milioni 17 kutoka watumiaji wa maji milioni 7.4 waliopo sasa kwa Dar es Salaam pekee.
DAWASA wameshindwa kuhudumia watu milioni 7.4 wataweza vipi kuhudumia watu milioni 20 ifikapo 2050 kwa kutegemea mvua kunyesha wapate maji?
Katika nchi ambazo watawala wanafikiria ustawi wa watu, wananchi kukosa maji kiwango hiki tu cha miezi mitatu mfululizo, walitakiwa KUWAJIBIKA wote.
DAWASA, kuliko kuleta ratiba yenu ya upatikanaji wa huduma ya Maji kwa mpango wa dharura, ilitakiwa DAWASA kuvunjwa, Wizara ya Maji kufutwa kabisa.
Serikali ya CCM miaka 64 baada ya uhuru imeshindwa kuwapa watanzania maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Karne ya 21 maji ni kitu cha anasa. Loh!
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.