Unapofikiria kudumisha tabasamu kwa wapendwa wako @thegifthaus ndio suluhisho lako. 🤩
This Valentine season kwa bajeti ya kuanzia 10,000 tuu nk, utapata package udumishe tabasamu kwa umpendae
📍Mikocheni
📱0713149537
📌Weka order yako mapema kupata perfect gift 🎁
A perfect present that lives forever.
Tunacustomize upendavyo 🤩🥳 Hii ni zawadi na pia ni decoo inayotunza kumbukumbu ya kudumu.
We customize in different themes;
New born, Family, Wedding, Office etc
250,000
📌FREE WRAPPING & GIFT CARD
📞0713149537
Karibu @thegifthaus
Digital inclusion haipimwi kwa idadi ya watu wenye internet pekee.
Hupimwa kwa idadi ya watu wanaoitumia kuunda fursa, kuongeza kipato na kujenga biashara.
Ndiyo maana content creators ni sehemu muhimu ya uchumi wa kidijitali.
#AITF2026
My baby Tee @Theklaschulte2 is off the market jamani 🤩🥳👌 am soooo happy for you Tee.
Nakuombea kila lililojema katika safari yako mpya ya uchumba mpaka ndoa.
I LOVE YOU SOO MUCH..! 🥰😘😘
Harusi tunayooooo #YT2026 🥰🤩❤️
Unataka bidhaa za Urembo genuine kutoka USA?
Tena at a reasonable Price, yaani bei za Kizalendo?
Nawasogezea PAMBE COSMETICS.
Try them uje utupe feedback, All I know, You can trust me.
nyingi.
You can check up their Instagram page
https://t.co/iHwLbUMxBw
Hello Twitter Family, Asalam Aleykum😊Alhamdulillah Tumekuwa NOMINATED! Asante kwa vote zenu za awali…Naomba dakika zako chache tu ubonyeze link 👇unipe VOTE yako https://t.co/oiD1aa72MA
Nomination category: MAKEUP ARTIST MBOBEVU
Nomination name: MINAHS BEAUTY STUDIO
Bi-idhnillah, kwa Kura zenu nitakuwa part of watakaopokea hizi awards 4th July, 2026 ❤️🥰🤲🏽Ahsante sana #glammedbyqueeenminah
KATIKA HARAKATI ZA UGUMU WA MAISHA NA UTAFUTAJI TUNASAHAU KUSHUKURU
UNAPOTUMIZA MALENGO NA KUFANIKIWA JIPONGEZE, ENCOURAGE URSELF BEFORE SOMEONE ELSE DOES. 📌
JIKUBALI, JIPENDE, JITUNZE, JIFANYIE MAMBO MAZURI. USISUBIRI KUFANYIWA ANZA KWA KUJIFANYIA.
SALI, MSHUKURU MUNGU 🙏🏽
WANAUME EEEEE…! Mjumbe wenu hapa nimesikia malalamiko yenu, haya mje mfunguke zawadi mnazozipenda na mnatamani wapenzi wenu wawapatie kuendana na vipato vyao.
📞0713149537 kwa huduma za zawadi na surprises zote.
Karibuni tuwasaidie kudumisha tabasamu kwa wote muwapendao 🥳🥂
@VannyTemba@MarekaMalili Dah Asante sana dada maneno yako yamenipa nguvu flan japo ni machache lakin kuna kitu nimejifunza kutokana na njia zangu nilizopita,👍