@TanzaniaLeaks Kwa Tulia kule wanapeleka Mabus mengi unaweza kuta hata mwananchi mmoja wa mbeya hayupo pale ila wote n wageni so kuzomewa itakuwa ngumu sana!Au kama watakuwepo basi atakayezomea ameula wa chuya
@EduTalkTz Zitto bwana!Yan yupo kama Baba levo au mwijaku!Yani ameshindwa kulaani Yanayomuhusu yeye na Nchi yake hapa,.anaenda Kulaani Niger.Yake yanamshinda anaenda kufanya ya mwenzake..