@VenanceLusinde Sana sio kidogo ila tulifanya fanya migomo ikabadilisha sana mambo
Walikuwa wanapika ugali wa jioni mchana kabisa ukifika usiku umekuwa jiwe tukagoma wakabadilisha ratiba na wakaongeza na wali kwenye ratiba
Mara ya kwanza kuchaguliwa Sumbawanga pale kantalamba secondary niliogopa sana kwasababu ya sifa za Uchawi . Ila mzee alinitia moyo akanambia we nenda Uchawi ni vitu vya kufikirika . Sasa ile nafika sijakaa hata mwezi Bimkubwa akaja kunisalimia. Na hapo ndo Msala ulipoanza ๐๐
@MarekaMalili Nyie wanaume mnaweza kuta
Anadaiwa school fees.
Anadaiwa kodi ya nyumba.
Biashara inayumba.
Mwanae anaumwa.
Benki wanataka kuuza nyumba.
Na mengine kibao.
Iลa kuna sehemu anaimbisha huko na anatoa ahadi
Kadiri utakavyojizuia kuwa na hisia hasi za hasira, wivu, kuropoka, kugombana n.k ndivyo utakavyojikuta unakuwa na nguvu nyingi kutumia katika kutimiza malengo yako.๐
KANUNI mojawapo ya Ufalme wa Mungu inasema hivi:
Mtu yeyote aliyemwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake, HALAANIKI. This is liberating.
Uwe na asubuhi njema.
Hakuna mtu asiyepataka Marekani. Wachina wenyewe pamoja na utajiri wao; wanapahusudu. Kila mchina msomi ndoto yake ni kwenda kufanya kazi na kuishi Marekani. Wazungu wa Ulaya nao wanapapenda. Marekani ni nchi number moja rafiki wa wahamiaji. Ni nchi ya fursa
Hakuna mtu asiyepataka Marekani. Wachina wenyewe pamoja na utajiri wao; wanapahusudu. Kila mchina msomi ndoto yake ni kwenda kufanya kazi na kuishi Marekani. Wazungu wa Ulaya nao wanapapenda. Marekani ni nchi number moja rafiki wa wahamiaji. Ni nchi ya fursa
The reason Poultry production is rapidly growing is due to high demand of protein and animal protein is superior to plant protein like beans which lack some of essential Amino acids like lysine, methionine and tryptophan.