AFYA TIPS!
Kuna Aina mbalimbali za Chupi za wanawake. Mdada hakikisha unavaa chupi za cotton tena ukiwa umenyoa vizuri. Hii itakupunguzia uwezekano wa kukaa na unyevunyevu Kwa muda mrefu Kwenye sehemu za Siri na hivyo kupunguza uwezekano wa kupata maradhi!
Kupenda Chama cha Siasa ni Sawa na kumpata mpenzi mpya, hujuhi tabia zake Kwa sababu haukuwa karibu naye, hujui nini atakutendea mbeleni kwa sababu hujui intention ya kuja kwako.
#SIASA#MAPENZI Ngoma droo!