Hongera Ibrahim Hamad๐ซก
Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM),
kimempandisha cheo mchezaji wetu Ibrahim Hamad โIbra Baccaโ kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora Uwanjani.
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Manara leo kaita waandishi wa Habari na Kuanza kumkaanga Karia kwa kila alichokisema ๐โโ๏ธ
Kamwambia ana dharau na kiburi cha madaraka.
Pia kawataka Yanga wasimuogope,
Wasiogope kufungiwa!
Msikilize....
Video kwa Comments ๐
@Geoffrey87Lea Wachambuzi wenye mihemko na ushabiki wa timu mjue watoto wenu watakuja kuona ujinga mnaofanya.Hakuna mchambuzi hapa na anasubiria apate habari kama sisi tu hana chanzo chochote.
UJUMBE WA VICE PRESIDENT Arafat pale IG.
Soma COMMENTS ZA WANANCHI hapo kwenye COMMENT.๐
Hii imenipa NGUVU SANA.
YANGA KUBWA KULIKO TFF.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐