🇹🇿 Uhamiaji Tanzania | WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 🛂
📍 Viwanja vya Chinangali, Dodoma
📅 16–23 Juni 2025
❓ Hujui namna ya kujaza fomu ya maombi ya pasipoti mtandaoni?
🆓 Usijali! Karibu kwenye banda la Uhamiaji upate elimu ya bure kabisa!
✅ Jifunze hatua kwa hatua namna ya kujaza fomu ya maombi
✅ Fahamu nyaraka muhimu na malipo ya huduma
✅ Uliza maswali na upate majibu sahihi kutoka kwa Maafisa wetu
👮♀️ Maafisa wetu wapo kwa ajili yako – tunakuelimisha kwa vitendo!
🎪 Usikose fursa hii ya kipekee katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma!
📢 Uhamiaji, Usalama!
👉 Tunakusubiri Chinangali!