Yes walipata kuliteka jiji ila anguko lao lilkua kuanzishwa kwa Wasafi TV na Ugomvi wa diamond na Clouds π
asilimia kubwa ya maudhui yao yalkua ni Diamond na watu wake
Ukweli usemwe kuna muda hiki kipindi cha SHILAWADU kiliteka nchi nzima ilifikia hatua watu wanalipia banda umiza kutizama SHILAWADU upepo wao ulikuwa sio kitotoπππ«‘
@chapo255 Kuna bro nilikua naishi nae mtaani kitambo kazitengeneza sana hizo na ukipewa huwezi jua kama ni famba,alikua anawapa wana Jagi la SumatiJiniππππ
Nina mengi, Nitaandika haya Machache.
1. Haya maisha hakuna ataketoka Mzima
2. Muda Mwingi Utumie kuwa Mtulivu
3. Toa Attention yako kwenye Vitu usivyovitaka
4. Jifunze na Fanya meditation walau 10min kila siku.
5. Jitahidi Kuiondoa Hofu yako kwa KUIFUATA
7. Maisha hana Formula ila Ulimwengu Unafuata Sheria zake Hakikisha unazijua ile usiwe VICTIM.
8. Perception is Reality, Hakikisha Unabadili namna unavyotizama mambo na Mambo yatabadilika yanavyokutizama.
9. Usidharau Ishara ambazo Ulimwengu Unakupa, Sikiliza INTUITION yako mara zote na Usisite kuchukua hatu mara moja.
10. Jikumbushe Kuwa utakufa, Relax maisha ni Machezo Jua Rule za huu mchezo na ucheze nazo.
...
FRANCIS | ABRACADABRA