TENGENEZA THAMANI YAKO KATIKA JAMII KISHA MEMA YATAKUJA.🧵
Wengi tunangoja fursa kubwa, lakini tunasahau kitu kimoja muhimu:
KUTENGENEZA THAMANI YAKO KWANZA, FURSA ZITAKUFUATA.
Hii ndiyo sheria ya maisha. Usiwe mtu anayefuata fursa, kuwa mtu ambaye fursa zinamfuata zenyewe.
👇👇
Usikae ukisubiri fursa. Tengeneza thamani yako hadi uwe fursa yenyewe.
The world gives you what you are worth, not what you ask for.
Improve yourself 1% daily, ina a year.
@FidQ "Ukishajua nini unataka, nini chahitajika ili ukipate, kamilisha mahitaji kisha kifuate."
Ujumbe wa mwisho:
Badala ya kulalamika, jiulize swali moja tu:
"Nini kipi naweza kufanya sasa ili mambo yawe bora?"
Acha kulalamika.
Anza kuchukua hatua.
Maisha yanabadilika unapoacha kulalamika na kuanza kufanya mambo yenye tija.
Jifunge Mkwiji songa mbele 💪🏼💪🏿💪🏼
🧵 ACHA KULALAMIKA
Ni Sumu Inayoharibu Maisha Yako.
ACHA KULALAMIKA: Badilisha Maisha Yako Leo!
Siku nyingi tunatumia muda mwingi kulalamika.
Lakini je, unajua kuwa kulalamika ni sumu?
Hebu tuangalie swala hili kwa ufupi:
Sababu kuu za kulalamika
👇👇👇
Matokeo ya KUACHA kulalamika:
•Akili inakuwa clear na inaweza kutafuta suluhisho
•Huongeza nguvu, Motidha na furaha
•Watu wanavutiwa nawewe (positive energy inavutia)
•Unakuwa na amani ya ndani
•Maisha yanakuwa rahisi zaidi – unazingatia kile unaweza kubadilisha
@George_Ambangil@Arsenal Well deserved tuache husda na chuki binafsi nawasapoti na kuwapongeza sana haikua rahisi wamepambana vya kutosha kwenye ligi na UEFA hapo bado wana fainali mkononi I'm sure watabeba pia
•Mtu haogopi kifo, anahofia maoni yake kuhusu kifo.
•Hofu inakufanya utumwa kabla hata ya mateso yenyewe kufika.
•Tupa kila kitu kinachokutia wasiwasi, kama ni kinachoweza kurekebishwa, rekebisha. Kama sivyo, acha kuilalamika.
"FEAR IS THE MOST DANGEROUS POWER " by N.Mandela
JINSI YA KUSHINDA HOFU 🧵
Hofu ni moja ya adui mkubwa sana wa nafsi yenye nguvu
Hofu si kutokana na mambo yenyewe, bali mtazamo wetu juu ya mambo hayo
Epictetus alisema
"Sio mambo yanayotutisha, bali maoni yetu kuhusu mambo hayo."
Hapa kuna njia kuu jinsi ya kushinda hofu
👇👇
5. MAZOEZI YA KUSHINDA HOFU
•Face your fear, fanya lile jambo linalokupa hofu ndo njia pekee ya kulishinda.
•Fanya kidogo kila siku: Ujasiri si hisia — ni kitendo. Anza na kitu kidogo kinachokutisha (kuzungumza na mtu, kuomba kitu, kujaribu kitu kipya).