Niko hapa nadishi nikiskia 50+ yr old sapere mums wakifunzana forex bwana..Respec. Pale kaplaba sahii wamama wa chama wanapiga chai mandazi wakiongelea mambo ya mahindi.
Me naye my man akiniambia niwache kufanya kitu ua naacha very fast. Ata akiniambia wachana Huyo rafiki ivo tu ndo namcut off 😭😭 akiniambia usivae hiyo nguo that’s it ama usifike hapa past 8pm😂😂😂 anyway me napenda mtu mwenye naogopa ata makosa siezi fanya 😭