@SportsarenatzTz Nawaza utalimbikiza hizi vocha mkuu kwasabb ile game ilopita nilipata mfungaj ila hukunifanyia kamuamala chief .!!! Leo acha wengne wachekechwe pia๐๐๐
@fumbokhanJr Tujitahidi kuangalia mazuri ya wakuu wa mikoa tuliopo na kuyasema sio kuongelea anachofanya mkuu wa mkoa mwingne.!! Naamin yapo meng wanafanya wengne na hawaongeweli km mjukuu.!!!
@TrevorSix1@Mr_Konfi Kaka bek n John Evans unategemea nn mbele ya Asernal ya moto!!!! Kipa kafanya kaz kubwa kukunyima goal nyng leo.!!! Utoto wa Gernacho n km Chasambi tu
@eastafricatv Tuna mji wenye manabii weng wengne labda wa Kweli na weng zaid watakuwa n wa hovyo Yan hakuna hata mmoja aliyetoa tahadhar ju ya mafuriko haya tukiachana na mamlaka husika??? Mungu hajaongea nao kbs kanyamaza.!! Tuombeane usalama tu hakuna namna ๐
@George_Ambangil Hatuna timu kwa sasa kinachofanyika uwanjan n aibu sn kwa timu km Man U .!! Tunastahili kupoteza game zingne zote km tutaendelea na uchezaj wa aina hii.!! Wakat tunapigwa chuma ya pili Gibbs anaomba pira akiwa mwenyw kbs hakuna wa kuziba nafas.!! Poor utd
@mwigulunchemba1 Sasa uncle Mwigulu ishu ya mama imeingiaje kwenye hili sasa?? Ungeipongeza Yanga kwa ushindi wa maana tu sio lzm kumtaja Rais.!! Huo n ubaguzi,cc mashabik wengne tunajiskiaje unadhan .!!
@bonifacejoseph_ Utd hii tuliyonayo msimu hu inaweza ikawa n ya hovyo zaid ya zilizopita..!!! Shorty naweza sema Kocha hana uwezo.!! Wakat Ajax inawika chini yake n kwasabb ya mfumo wao na ligi yao .!! Kwa utd ETH n km hana kipya kbs kbs anazidiwa mbali sana na makocha wa timu ndogo,poor utd..!๐ค