Temba alikuwa mwanachama wa uvcmm leo amekatwa shingo hakuna mtu yeyote aliyetoka hadharani kukemea mwenzao kufa wapo kimya Kama maduanzi fulani hivi mkikaa huko mnadanganyana kuwa ukiwa ccm upo salama huyo aliyekatwa shingo alikuwa chama gani HAKI HAINA CHAMA

Tangu umekuwa rais TAHLISO umekuwa mpambe wa serikali nakujipendekeza unashindwa kusimamia maslai ya wanafunzi wenzako chuoni .Haya huko chuo IFM ametekwa Temba hukutoa statement yeyote na jana ameokotwa akiwa amekatwa kichwa Huna chochote ulichozungumza Kama.siyo ufala nini !!

Makamanda people's
Kesho tarehe 05.05.2026 Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Wakili msomi, Dr. Rugemeleza Nshala atafanyia uchambuzi taarifa ya tume ya Chande.
Wanachama wote tunatakiwa kufika kwa wingi Makao Makuu ya CHADEMA ( EDWIN MTEI HOUSE) Mikocheni.
Muda ni saa nne Asubuhi..
Tunapokuwa tunapigania uhuru wa Maisha ya watu kwa ajili ya utawala bora siyo kwamba tunaichukia serikali tunaisema kwa matendo yake haya swali la msingi huyu alikuwa mkosoaji wa serikali Kama mimi na ameuwawa kikatili
Huu ni wakati wakuunganisha nguvu ya kudai mabadiliko kweli

ZIARA YA MWENYEKITI WA KANDA YA PWANI KATIKA JIMBO LA MBAGALA,
Jana tarehe 3 Mei 2026, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Mhe. @ExMayorUbungo, akiambatana na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Kanda na Mkoa wa Temeke, amefanya ziara ya kikazi katika Jimbo la Mbagala.
Uwekaji wa Jiwe la Msingi: Mwenyekiti ameweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Chama Jimbo la Mbagala. Jengo hilo hivi sasa lipo katika hatua za ujenzi, likiwa ni sehemu ya mpango wa kuimarisha miundombinu ya Chama.
Ufunguzi wa Misingi: Aidha, Mwenyekiti amefungua rasmi msingi wa Chama katika Tawi la Mikwambe, lililopo Kata ya Toangoma. Hatua hii inalenga kuimarisha uhai wa Chama kuanzia ngazi ya chini kabisa.
Ziara hii ni sehemu ya mkakati endelevu wa Kanda ya Pwani kuhakikisha kuwa kila jimbo linakuwa na ofisi bora na ya kisasa. Uwepo wa ofisi hizi utasaidia:
1.Kuboresha mazingira ya kupanga mikakati ya ushindi.
2.Kutoa nafasi rasmi na tulivu kwa ajili ya kutekeleza shughuli za kila siku za Chama.
Chama Imara, Ofisi Bora kwa Maendeleo ya Jimbo.
Happybirthday Joel msuya wewe ni alama ya mabadiliko ya kweli katika kizazi hiki najivunia uwepo wako na nguvu zako hakika tumenusurika mengi lakini wala hukukataa Tamaa hata pale ulipoweka rehani elimu yako yakutaka kufukuzwa chuo kisa harakati za upinzani hakika wewe ni tunu

Huyu @BrendaRupia Mkurugenzi mkuu Wa Mawasiliano ya Wa CHADEMA si mnaona hata ngeli yake inavyonyooka sana? Iko hivi huezi mlinganisha na yule kihongosi wa mbogamboga na kingereza cha garisoni wa kupuyaya 🤣.
Takribani mwaka mzima Chama chetu hakijakutana, na leo Kamati Kuu imekutana Dar es Salaam. Majadiliano ya msingi ni muhimu kila wakati, hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia huzuni kubwa kufuatia matokeo ya Tume ya Jaji Chande.
Bora nyie mnapokea matusi, ndugu zetu walipotoa maoni yao walitekwa na hawajulikani walipo mpaka sasa, Oktoba 29 tulipotumia haki yetu ya kikatiba ya kuandamana tuliuwawa kwa maelfu.
Kwa hiyo unataka kusema nini wewe umeona kauli ya chadema ya mabwana zako ccm ujaona tukisema mpo kwenye mradi wa ccm mnakataa yaan nyie sasa hivi ndio tunajua uwezo wenu wa kufikili
Wakati nilipotoa tahadhari juu ya kauli za viongozi wetu wa @ChademaTZ2 juu ya kauli zao kua zenye macho na masikio kwani zinaweza zikatumika kama fimbo mbeleni mlibeza na kutukana sana. Jaji Chande anasema kaulizetu wanasiasa ni kichocheo kikuuu cha yaliyotokea. Mdomo uliponza .
Baada ya mimi kuiba mifugo (ng'ombe) za jirani yangu @fbuyobe na nikakamatwa na ushahidi wa kila aina, nimeona mambo yasiende kwa Hakimu nimeomba niunde tume yangu inichunguze kwa maelekezo yangu. Ndugu wa pande zote naomba muwe na IMANI na tume yangu. Asante.
#KatibaMpya
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏