@Tweener003 Ninachoshanga me ktoka kwa basata, wkt msanii unawahitaji kwa ajli ya kutatua mattzo yk kwao, wanakuliza kma umejisajili kwao, ikiwa bd uwezi kupta huduma hadi ujsjili! ss itokee umejikanyaga wkt wa kukufungia awangalii km umejisajli ama laa wao wanakupa adhabu, daah! sio fear