๐จ๐จ๐ฟโ๐ปAPPS KUMI NA TANO (15) ZINAZOWEZA KUKUTENGENEZEA PESA NYINGI SANA MWAKA HUU 2025๐จ๐จ๐ฟโ๐ป
Kuna apps nyingi zinazokulipa mtandaoni kwa njia tofauti. Hapa kuna apps 15 ambazo unaweza kutumia kutengeneza pesa mwaka 2025,Nazo ni.....!!!!๐๐ฟ
Usisahau kufollow @mchache_tz
Kuna washikaji ambao hawana vyeo na sio hata viongozi ni mawinga tu Kariakoo wameshika Chepe na zana za mikono wakipambana kuokoa wenzao. Heshima za dhati kwenu miamba. Mifereji ya mafanikio Mwenyezi Mungu aielekeze kwenu, familia zenu na kwa wazazi wenu kwa sababu walileta viumbe duniani vyenye roho safi ya kusaidia wenzao.