@karibuhisense Hivi nyie huwa mnafuatilia vipi watu wenye shida ya warranty.... It's like mnatoa warranty kama promo and not what is intended kweny makubaliono kweny warranty
@FKihamu Uwanja hautumiki tena kwa matumiz ya mpira Bali matumiz yake yamebadilika.... Kila kukicha matamasha ya dini.... Hafla za kisiasa zimekuwa na baadhi ya matukio yasiohusu mpira yamekuwa yakifanyika uwanjani tena kweny pitch kabisa. This is because we have a poor stadium management
@YasTanzania_@Wegner1278425 Jaman huduma zenu za kifedha zinarejea saa ngap... Nashindwa kukamilisha mkeka Wang..... Mnanifelisha.. Hii loss ni kubwa mnoo πππππ
@nyuki_malkia Content zake noma.... Anafundisha san kuhus uchumi bilashaka ni mchumi huyu... Sijawah ona akitoa mapepo zaid ya kuinfluence vijana kuhus life