Hii video ndio sababu sitokaa kurudi tena kwenye umbea mpaka haki ipatikane Tz. I feel like nina deni kubwa la kuhakikisha hivi vifo vinapata haki na vinaleta haki kwenye nchi. This video ndio sababu I will never abandon the movement.
Kwa mara ya kwanza leo naposti full clip.
Video ya kwanza ndio original video. Video ya pili ndio video niliowapostia Watanzania, nilikata jina langu. I did this to a number of videos za Arusha. For some reason vijana wengi wa Arusha walikuwa wanasema “Dada Mange ona wanatuua” au “Mtumie Mange Kimambi aone”. Nitaachia na video zingine nilizokata jina langu.
The reason I’m posting this today ni sababu wauwaji wanalipa watu kusema kuwa hawa vijana walilipwa.
@SuluhuSamia kwanini hawa vijana hawakuita jina la waliowalipa waandamane? Instead wanaita jina la dada yao aliewapa elimu ya umuhimu wa kuandamana ili kudai haki kwenye nchi yao?????? Au niliwalipa mimi???
Vijana wa Tanzania naomba mjue, I’m in this fight mpaka haki ipatikane Tz au mpaka siku nakufa…… Hakuna kitu kingine nitafanya kwenye mitandao zaidi ya kudai haki juu ya vifo hivi….
CHALLENGE YOURSELF
Imagine unataka kujenga nyumba ya million 20 kwa kutumia Mshaha, chukua kiasi cha mshahara wako toa matumizi yako yote ya mwezi, kile kinachobaki gawanya kwa million 20 the niambie utatumia miaka mingapi kujenga nyumba ya 20M kwa kutumia Mshahara😆😆😆😭
CHALLENGE YOURSELF
Imagine unataka kujenga nyumba ya million 20 kwa kutumia Mshaha, chukua kiasi cha mshahara wako toa matumizi yako yote ya mwezi, kile kinachobaki gawanya kwa million 20 the niambie utatumia miaka mingapi kujenga nyumba ya 20M kwa kutumia Mshahara😆😆😆😭
Leo nimeiona Nguvu ya X ile post yangu nimesema me ni Mkali wa EXCEL Imenipa laki Moja na Nusu Baada ya kupewa deal kwenda kumsaidia @MchiziWang Ku fanya kitu kinaitwa BUDGETING
Nilifika pale akanipa kazi akanielekeza kidogo chap nikapiga kazi yake
Anafollowers chini ya 100 ndo maana me napenda acc changa zimenyooka sana asee 🤗😊
Kuna kipindi nilikua kila nikiingia X nakutana na post za wapwa shusha handle tuinuane yaani 24/7 drop handle tuinuane nowdayz sioni hizo post asee sijui hao mabroo walienda wapi
Mungu ame kupa Kila kitu unacho kihitaji kwenye mazingira ayo ayo unayo ishi tatizo lako ume focus kuangalia vitu mbadala badala ya kukubari mchakato halisi wa maisha
Si kwa ubaya, ila kuna swali limenitesa sana kama lilivyowatesa nyie pia... eti hii pisi ina miaka 15? Like, how? Hiyo hesabu bado haijakaa sawa kichwani
Agustino Lissu ✊🏽❤️
A fighter like his father Tundu Lissu and courageous like his mother Alice Magabe🔥
Mungu ailinde familia hii wamepitia mengi sana 😢
Nafurahi kuona wamekataa kuwa wanyonge!
#FreeTunduLissu
Mungu ame kupa Kila kitu unacho kihitaji kwenye mazingira ayo ayo unayo ishi tatizo lako ume focus kuangalia vitu mbadala badala ya kukubari mchakato halisi wa maisha
Mwambieni muuaji hao madikteta wenzie hapo, Maduro na Assad nchi zao zilikuwa na umuhimu zaidi kwa Russia kuliko umuhimu wa TZ kwa Russia ila 40 yao ilipofika Putin alitulia akaacha wang’olewe madarakani..
Mwambieni hakuna wa kumjibu vifo vya October 29.
Kwenye kweli tusemeni ukweli
Suala la 50/50 kama ingekuwa inatumika kwa nchi zetu za kiafrika kuna watu wengekimbia ndoa na wengi ni wanawake.
Unajua kwanini ?
Asilimia kubwa ya sisi wanawake wa kiafrika tunazani ndoa ni mafanikio, ndoa ni starehe, ndoa ni
vacation,👇