During GCCTC Art Exhibition which took place on 05th August at OLD BOMA building artists had am opportunity to show their creative works portraying different messages on climate change and how it affect gender especially women and children.
Gender and Climate Change Tanzania Coalition hosted by WATED conducted a training to artists on gender and climate change which resulted to artists to develop their work basing on the mentioned concepts.GCCTC is organizing the artists exhibition on gender and climate change.
Picha ya pamoja na waziri wa mifugo na uvuvi Mh. Mashimba Mashauri Ndaki akiwa ametembelea banda letu na kujifunza shughuli zetu tunazofanya katika masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabianchi.
@wizaramifuguvuv@ikulumawasliano
Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani Juni 5 2022 ambayo kitaifa yanafanyika jijini Dodoma katika Ukumbi ya Jakaya Kikwete Convention. WATED kama mratibu wa taasisi ya GCCTC wameweza kushiriki katika maonesho.
GCCTC/WATED wameshriki katika uzinduzi wa wiki ya mazingira uliofanyika katika eneo la Iyumbu Park jijini Dodoma ambapo miti zaidi ya 400 ilipandwa.
“Tupande Miti na Kuitunza sio Kuitelekeza” Mh. Dr Suleiman Jafo - waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira.
Muungano @gcctctanzania umekutano leo kujadili mradi wa Tanzania roads to Inclusion and Social Economic Opportunities (RISE) unaofanyika kwenye mkoa wa Shinyanga.
Mradi huu unahusu ujenzi wa Barabara.
Pia itahusushisha masuala ya jinsia.
The #PeaceCaravan 🇹🇿 has crossed the ocean and now in Zanzibar.
~Community engagement is our mission
~ Women participation in Peace & Security is our goal
~ Peace Sustainability is our vision
So children can prosper in safe & peaceful environment!
#SistersWithoutBorders
Ukatili wa kijinsia ni kikwazo kwa wanawake kushiriki kwenye kudumisha Amani na Usalama na kupelekea wanawake kushiriki kwenye uvunjifu wa Amani. Hivyo kuna ujitaji mkubwa wa kuelimisha jamii.
#PeaceCaravan@bjinitiative @for_defenders @GAI_Tanzania@tiba_tanzania@ladiesjoint
Capacity building to CSOs on climate financing in Tanzania. What are major sources of climate finance in our country?
@for_defenders @HUDEFO@IPCC_CH@SwedeninTZ @OHCHR_EARO
WATED TANZANIA is inviting you to a scheduled Zoom meeting.
Topic: Women Leading Climate Change
Time: Aug 11, 2021 04:00 PM Nairobi
Join Zoom Meeting
https://t.co/PgXtDsbZXI
Meeting ID: 882 3278 3820
Passcode: 997752
WATED as a member of the African Coalition for Corporate Accountability (ACCA) hosted (in Tanzania) and participated on a General membership consultation/ conference on Human rights, the situation of COVID 19 in 2020 and Business Human Rights @AfricanACCA@tangibletz@MariaMatui
“Women in leadership achieving Gender equality” - for Peace sustainability. WATED with other stakeholders under the umbrella of sisters without Borders in the Dialogue of commemorating the International Women’s Day held on 11th March 2020 at Karimjee Hall.
Wanawake ni nyenzo ya ujenzi wa amani kuanzia ngazi ya malezi na makuzi kwa watoto hapana shaka wanao uwezo wa kushirikishwa katika kamati za maamuzi katika NGAZI mbalimbali , serikali za mitaa, vitongoji na hata Halmashauri kwa lengo la kutunza amani.