Anaetaka hii challenge tujumuike pamoja
January 300k
February 300k
March 300k
April 300k
May 300k
June 300k
July 300k
August 300k
September 300k
October 300k
November 300k
December 300k
NB: Tunaanza rasmi tarehe 30/01/2025 mpaka tarehe 30/12/2025 Jumla ni TZS 3.6M
Pamoja na kuwa tuna Ardhi Nzuri Kwa Kilimo Cha Saumu
Lakini Kitunguu Saumu imewekwa kwenye list ya Import Goods
Kama una Ndoto ya kulima Saumu
Here's the Compilation threads
👇
📝 Ni wakati gani mzuri wa kupanda vitunguu saumu?
Majibu...✍️
• March hadi May kwa kanda ya Kaskazini
• February hadi April Kwa kanda ya Kati
• April hadi June kwa nyanda za juu kusini
#saumufarm