Dereva mimi napata tabu sana kuelewa
Chuo
Polisi
Latra
TRA
TSH + mtihani huo huo Moja unauganya kwa gharama tofauti Kuna namuna hii sector mmeichukulia poa kwasasa vijana wengi watarudi mtaani kitacho tokea @WizarayaUC
@abissay_stephen Mtu kalipewa timu ye ndo bosi kimemlamba leo awe anatumwa kupanga koni atashauli nini mwacheni kocha afanye kazi yake msulite timu ngonjela wanachamba sana kuliko kufundosha