Kikeke na Kiba walidanganya umma kuwa wanaanzisha media.. kumbe ni ice boys wa Mchengerwa umbwa wale. Waulize wanamiliki media gani? Wana share kiasi gani? Ndio maana wanatumika kama TP!🚮
The commission alleges the protests to be premeditated and organized by criminals with intention to obstruct elections.
If so, why Maridhiano?
Why should someone sit down and negotiate with criminals?
ONCE A TRAITOR, ALWAYS A TRAITOR.
Waliondoka kwa mbwembwe nyingi wakakitukana sana Chama pamoja na Viongozi wetu matusi ya kila aina.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakaanza kusema #NoReformsNoElection ni uhaini, wakawa wanasema wanashangaa inakuaje Serikali haimkamati Mhe. Lissu wakati anahamasisha UHAINI hata haikuchukua muda Mhe. Lissu akakamatwa na kupewa kesi ya Uwongo mpaka leo ni zaidi ya Mwaka mmoja yupo jela.
Walisema CHADEMA imepoteza mwelekeo mara sijui CHADEMA ishajifia bora waende huko wakatimize ndoto zao kisa waliambia watapewa majimbo 20 na Viti maalum 25.
Mungu alivofundi walikula kofi la uso wakaangukia pua sasa baada ya kukosa Ubunge kama walivoahidiwa leo wanajifanya wameweka mikono nyuma, wanaomba kurudi kwenye CHAMA as if sio wao waliokua wanatukana mitusi na kudhalilisha Viongozi wetu.
Hawa watu sio wakuwachekea maana msaliti ni msaliti, kama waliweza kutusaliti jana unadhan nini ambacho kitamzua kutusaliti leo/kesho..?
Karibu Tanzania @MaEllenSirleaf
Are you here on behalf of Council of World Women Leaders or @TheElders ?
Doesn’t really matter!
We hope you are here to seek Justice and Accountability for the People of #Tanzania and not some “political solution”
#TanzaniaMassacre is a crimes against humanity case not a political problem
FYI I wrote to you and the Elders before the massacre and asked you intervene and warned about the impending plan to massacre!
Read:
“All signs are that Suluhu’s regime is preparing to brutalize protestors into submission, it is a bloodshed in the making. Not only is such repugnant politics deeply immoral, unconstitutional, illegal and unacceptable in the 21st century; it could also trigger an unprecedent cycle of violence and destruction.”
October 12, 2025
https://t.co/WjTHeH6Mkg
Kila nikitazama hizi video za Oktoba 29, huwa najiuliza hawa Polisi ni binadamu kama sisi?
Unawezaje kumfanyia binadamu mwenzako Ukatili wa kiwango hiki?
Kamwe hatuwezi kusahau huu Ukatili wa Nduli Idd Amin Mama pamoja na washirika wake maana pamoja na mateso yote haya bado wakauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi.
Samia hajatoa wanajeshi Uganda tu! Kuna wengine wametokea kusini kupitia tunduma ! Wana Uniform Kama zetu ila hawajui Kiswahili vema !!!! Hatari kuwa makini watu wa tunduma cc @Sativa255@MariaSTsehai@TitoMagoti
#OperesheniNywiNywiNywi 🔥🔥🔥 maana yake hakutakuwa na nywi nywi, nyiwi nywi wala nywi nywi nywi! Watanganyika, we are moving in the right direction, let's keep going, tumeshafika!
Tunaomba msaada JWTZ:
Maeneo ya Tegeta boko mabwepande na Bunju wako polisi na askari wa Uganda wanaua raia ambao wapo kwenye makazi yao hovyo. Picha zinatisha siwezi post.
This is intolerable. #MO29
Samia upo tulikuonya ukakomaa kufanya uhuni
Sasa Rostam na Kikwete wao ni watu safi wewe una vimeo na mpaka watoto wako wote ni waharifu
Ukuwaji chaguliwa na Watanzania na sasa wamekukataa kabisa
Msikubali mtu atangazwe kuwa Mbunge au Diwani
Akitangazwa tu mfuateni mkamuulize nani amempigia kura
Wanaotangazwa ni sehemu ya wasaliti , kila jimbo msikubali huo uboya
Maandamano yanaendelea maeneo mbalimbali ya nchi hakikisha unaungana na waandamanaji ambao wapo eneo la jirani na ulipo wewe.
Ukombozi unakaribia tukaze buti.
#Mo29💪🏻