Hamtaki manifesto ya Kalonzo, hamtaki manifesto ya Ndindi Nyoro, hamtaki manifesto ya Gachagua wala hamtaki manifesto ya Matiang’i lakini mnataka ya Sifuna pekee sio? 😏
Eehh hiyo ni gani tena. Someone sent me 10sh and reversed my 7,000/- plus my fuliza limit 😳😳😳😳😳 sasa nadaiwa na safaricom and the way i haven’t used fuliza kabisa this year! 😳😳😳😳😳😳😳 wtf!!!!!!!!!!