@MickyJnr__ Attention inamaliza kipaji chako...jitahidi kwenda kwenye real source na upate habari za uwakika...yanga walishamaliza usajili mda mrefu so kua na habari zenye uwakika sio propaganda za kizamani.
@MickyJnr__ Hamna wa kukuua kwani wewe unalipi mzee kwenye mpira wa Tanzania au kuna nn umeongea kuongea ujinga ...inshort we fanya kazi ujawai kua na impact ya watu kukuwaza kukuua una nn labda acha kuongea ujinga we oambana na career yako watu wakuue wapate nn labda acha kuchafua watu