Jana nimeingia Job kama kawaida,kufika kwa main gate Entrance nikapata that female security officer hayuko, kumuulizia wakaniambia ameenda kutenganisha vita ya wamama, nikaamua kuenda nione shida ni nini, before niingie kwa hio ofisi vita ilikua inaendelea, nikiwa nje nilikua naskia mangumi na mabare, watu wanararuana yamba nasa, kuskiza sauti nikatambua ni Madam wa procurement na madam wa finance wanapigana kwelkwel
mmoja anasema, "hapana, mimi ndo nilitangulia kusema..." Huyu mwingine anavuta huyu mwingine adi bra anamwambia, "si ni mimi ndo niliona wa kwanza!!" Nikienda kuingia soldier alikua hapo kwa mlango akaniambia "hapana usiingie, ukiingia itakua worse, wanapigana ju ya haircut yako" ndo nikakumbuka mutiso my Barber alikua amefanya magic kwa kichwa yangu weekend, nilitoka tu hapo kama nimerudi home kulala aki, ju situation kama hio unajitetea aje aki?!?
@Grachidex Worse than that. Flying with my wife more than once where her bag was heavy and mine was light. They made us move stuff from her case to mine. The weights all going in the same cargo hold either way.
Radio Host: Hallo and welcome to the request hour, what can I play you:
Wanjiku: I really wronged my dad and I want to dedicate to him a song as part of my apology
Host: Go ahead…
Wanjiku: Westlife - Soledad
Packed lunch?
She used to share her packed lunch with him. With time she started carrying 2 packages. With time she started asking him to send money to purchase supplies.
Then? She started alternating cooking places. His house and her house.
Now? They stay together. 🤣🤣