Afisa mmoja alijifanya kurekodi maandamano huku akimvizia mwanamume mmoja ambaye alikuwa akiwalalamikia polisi kwa madai ya kumrushia mtoto wake vitoa machozi. #OngeaUsikike https://t.co/MwHpzMadgx
Uzalishaji wa chakula:
Mkuu wa mawaziri Mudavadi afungua warsha Mombasa. Warsha inalenga uzalishaji wa chakula cha kutosha #SemaNaCitizen@mwanahamisi254
Why are many ladies choosing "Come We Stay"? According to statistics, only 19 per cent of currently married women have their marriages registered with a civil authority. #ChitoAndKwambox@ChitoNdhlovu@IamKwambox