Hii harusi imetrend sana pale mjini kahama ilikua harusi yenye mvuto wa kipekee sana alafu maharusi wote wamekutana ni wachimba madini🙌
Ni harusi ya bwana Paul na Linda 🔥🔥🔥🔥
Kwa mara ya kwanza Jkt imewaita wanafunzi kutoka Visiwani. Wanzibar wengi jambo hili wamelipokea kwa mtazamo hasi wakisema suala hili sio la muungano kwani wao wana “Jkt” yao ambayo ni “JKU”
Wengine wameenda mbali na kudai kwao sio sawa watoto wa kike kuvaa kaptura na kuchanganywa na wanaume.
Bro
Unaweza kujaribu hata kumbusu Nyuki ila sio kujaribu Kujinfuza kupiga On target kwa house Girls huwa wapo haraka Sanaa kudaka mashuti,,,,Shauri Yako😂💯