Risk : Reward = A : 2A ≠ 1 : 2 = Holy grail
N.B: "A" should never ever exceed 0.25% of your account if you want to be there in the next 10 years!
Only the real ones will understand what I'm talking about here :)
A $1m account with a 2% gain monthly = $20K/ month = $240K/ year
I'll be taking a Sabbatical rest from all social media. As of now I was only active on Twitter —now 𝕏. By God's grace I'll be back in 2027 probably in July (Q2 of 2027). No 𝕏, No facebook, No Youtube, No Linkedin,No Whatsapp, No nothing but pure work. Until then stay safe. Bye!
Our R&D team will officially begin to explore a New Project on September 01, 2025 that will take 24 months.
Our CEO @Wilfred_tz will be serving as a Senior Advisor and will take a role of A project manager from time to time throughout the project.
On Aug 01, 2027 we'll go live.
Katika Ufunuo wa Yohana:
1. Makanisa 7 yanatajwa
2. Thiatira anaambiwa—"Ila mlicho nacho kishikeni sana, hata nitakapokuja"
3. Filadelfia anaambiwa—"Naja upesi" (Yesu)
4. Kumbe; Filadelfia liliishi karibu na MWISHO maana kanisa moja baada yake (Laodikia) ndipo MWISHO utakuja
Ufunuo 3:7,8
Kanisa la Filadelfia — Mnamo karne ya 19 vyama vingi vya kuhubiri Injili vilianzishwa. Mataifa wasiomfaham Mungu wakahubiriwa
Wamishonari Robert Moffat na Johann Ludwig Krapf walikuja Afrika
Wadhanio Afrika kuabudu miungu ni sawa hukosea. Ni kupumbazwa na Shetani
"Kushinda" ni kuyashinda mashaka kuwa Mungu anakukubali vivyo ulivyo.
Wengi hudhani kwamba ili Mungu awakubali basi ni lazima wajitakase, wawe safi, wasio na mawaa. La hasha! Mungu anakupenda jinsi ulivyo.
Yesu alishuka kufa kwa ajili yako ukiwa mdhambi. Ameshakukubali, mfuate.
Despite some Health Care #stocks going through hardships; people will get sick and consult a doctor. People will need to insure their health. As long as a specific stock is not left behind by the technology advancement — specifically AI, it will make a comeback. Hodl
Nimeona mtoto (under 15) akiuza ndizi kwenye beseni kichwani moyo umeumia sana.
Kama huwezi kuzaa na kulea kwa malengo ACHA. Hata kunguru hujenga kiota kabla ya kutaga. Mawazo ya kipumbavu kwamba kila mtoto huja na baraka zake yanaumiza wengi — Hata Mungu hapendi ujinga huo.
Katika Ufunuo wa Yohana kuna kanisa linatajwa kama "Sardi"
Sifa zake ni sifa za Makanisa ya Kiprotestanti (hujumuisha madhehebu na dini mbalimbali)
Wanadai kuwa wako "hai" lakini hakika "wamekufa"
Soma Ufunuo 3:1-4
Vs.4 ni waaminifu wachache kama Luther, Wesley, Whitefield nk
Topic slip is random drifting from topic to topic without achieving completion on any of them. One way to avoid it is by tracking the conversation on a whiteboard so that everyone can see where you are. #principleoftheday
Sikuhizi imekuwa rahisi sana kudanganya Wakristo kuliko watu wasio na imani.
Imani siyo sababu ya Mkristo kuwa mjinga, anayechotwa akili kwenda kokote kama debe tupu. Waaminifu wengi wa Mungu waling'amua uongo kwa kusoma "Neno"— Sikuhizi wanasomewa na kuitikia "ndio baba". Aibu!