Mwanaume,
Yes, najua kurauka haimaanishi vitu zitaingiana. Lakini jiulize nani mambo zake ziliingiana akiwa kwa kitanda?
Rauka uchore strategy ndiyo ata ukikosa mboka ukuwe prepared. Ikishindikana kabisa soma kitabu ukuwe na vako za kuwaingiza hiyo masaa ingine.
Champe,
Kesho asubuhi na mapema piga luku yako ndiriba, jipulizie sumuu inaskika ukishapita, ingia ukitembea kama tajiri na uongee nikama ushawaiwai.
Hii life hautawaipewa kitu kama haukai nikama ushaichukua.