Internet 🛜 ya Airtel kuna Muda nayo inahitaji WiFi kufanya kazi 🤦🏽♂️.
Ttcl hadi kuwapata unatakiwa uwe na watu kama nane serikalini watatu wawe wizara ya mawasiliano kabisa
Tigo cjui Yas wao kuwapata utumie nusu ya mshahara wako 😂😂😂😂
Enewei Acha nitafute hela 🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️
Dear NMB , naomba mtofautishe text za hela na za jumbe nyingine. Mtanipa presha Jamani 🤦🏽♂️
Hizi nyingine bora muandike small letters au muandike NMB TAARIFA .
Asante
Tupo Kwenye kutafuta Suluhisho Kwenye soko la Kariakoo na bado mtu anawaza mambo ya Yanga kweli????
Buriani baba wa Taifa, umeacha Taifa kwa watu ambao kuna muda hawapi vipaombele mambo ya uchumi wa Nchi 🤦🏽♂️.
Dj Tafadhali tuandalie watu wa From January to December, Nyakati za huzuni Furaha.
Kwasababu ya muda waungane na watu wa Naiona kesho kesho iliyopangwa na Baba.
Am tired of being unemployed,kesho kuweni makini na maofosi yenu Naingia ofisi yoyote Wakati wowote. Nchi ni yetu site Kwanini muijenge wenyewe 😂.
Mlinzi akinizuia nampiga navaa gwanda zake.