@TZMsemajiMkuu Ok lets say ni 518.. who killed them? Au walijiua mayb (na kama waliuwawa na watu tofauti na polisi na jesholi aliyewaua alipata wapi silaha na ujasiri za kupiga risasi watu barabarani huku polisi nao wakiwemo barabarani umoumo, what was the purpose of police kulinda uchanguzi?