@kigogo2014 Na hao raia wa nchi nyingine wanao mwita @MagufuliJP the son of africa nao watakua MATAGA!? mfano Prof. Lumumba wa KE. Na wawakilishi wa nchi zaidi ya 50-wanaohudhuria kuagw kwake nao watakua MATAGA!? basi hata mimi ni bonge la TAGa
Kwa wasiomfahamu job chacha 73 ni miongoni mwa wapigania haki na vyama vingi Tz miaka 1990 ni kati ya watu waliokuwa wakiandika barua za wazi "Daily News" na magazeti mengine, kudai vyama vingi wakati huo. Kwa taaluma ni Mhasibu (ACCA) London miaka ya 1970 Jana amepata dhamana
@TZMsemajiMkuu@IkuluPress Hii Hotuba ya Mh Raisi tafadhali ikiwezekana isambazwe hata kwenye mashirika ya umma na Binafsi!
Imesheheni Dira na Maelezo mazuri ktk dhana kubwa ya Maendeleo na Ustawi wa Nchi Yetu
@bunge_tz@IkuluPress Hii Hotuba ya Mh Raisi tafadhali ikiwezekana isambazwe hata kwenye mashirika ya umma na Binafsi!
Imesheheni Dira na Maelezo mazuri ktk dhana kubwa ya Maendeleo na Ustawi wa Nchi Yetu