Wale mnaoogopaga kutoa habari mpaka ni prove ni mimi, sijui tufanye video call sijui nini haya nimemaliza tatizo. Sasa account yangu ya WhatsApp iko verified.
Wewe jimwage unavyotaka, hakuna mtu atakaa kujua wewe ndio umeniletea habari. Usiri na kuwalinda waleta habari ndio siri ya mafanikio tuliyoyapata so far kwenye safari hii ya kudai haki kwenye nchi yetu.
Samia, TCRA na wauwaji wa CCM hawana access yoyote na WhatsApp na hawawezi kuona wala ku access messages za WhatsApp. Au kama huiamini WhatsApp, pia napatikana app ya signal kwa same number au username mangekimambi.80