Embrace every moment in life, either good or worse they are all yours. Get to know who really you are and what really matters for you. The only way to learn about life is by living. We all donโt know about tommorow so let love prevail and live each day to its fullest.
Maisha ni kuchagua ila ukitaka kupiga hatua kwenye maisha, usiwe mtu wa kutafuta visingizio. Wajibika kwa kila hatua na maamuzi yako. Omba msaada unaposhindwa, jitahidi kutatua changamoto za watu wanaokuzunguka. Utajikuta tu unasogea siku hadi siku
Analyse, execute, manage risk then forget about looking onto the charts all the time. Trading needs mental peace otherwise you will be shaken by the market
@TMnyama4_ Huyu mwanamke ndo uli plan umuoe bro? For what reasons maybe! Kweli love is blind. Yan a cheater she is always a cheater. Mwanaune kama huwezi kum control mwanamke basi atakusumbua sana. By the way at 30 as a man wanawake wapo wengi sana wanaojielewa na kujieshimu.
Maisha sio kwa watu wanyonge. Ukitakata kuishi au kufanikiwa kwenye jambo lolote lazima uwe ngagari, uwe na roho ya paka. Hata mbinguni wataingia washindi tu. Kwa hivyo kwa chochote kile unachokifanya hakikisha unakifanikisha kwa namna yoyote au kwa kiwango chochote kile