We joined regional changemakers to strategize on increasing public finance for agroecology through digital advocacy & social movements. From hands-on training to policy-focused action plans we’re driving change for a sustainable, just future!
#womeninclimatetanzania
COP16 is underway in Riyadh, Saudi Arabia, under the theme ‘Our Land. Our Future.’
Key discussions include land tenure, innovative restoration solutions, and gender-responsive climate action.
#COP16#LandRestoration#DroughtResilience#ourlandourfuture
It is time to address not only environmental challenges but also to ensure gender-sensitive solutions that protect women and marginalized groups, enabling them to lead in climate resilience and adaptation efforts 3/3
#16DaysOfActivism#climatejusticeissocialjustice
As we begin the 16 Days of Activism against GBV, it’s crucial to recognize the intersection of GBV and climate change in Tanzania. Women & girls are increasingly vulnerable during climate crises. 1/3
#16DaysOfActivism#climatejusticeissocialjustice
Many women and girls are forced to walk up to 5 km or more, daily for water, exposing them to violence and exploitation. Displacement caused by extreme weather events further exacerbates these risks, especially in temporary shelters where access to basic services is limited. 2/3
MWANADIPLOMASIA kijana kutoka Tanzania, Sylviabay Kijangwa amechaguliwa kuwa mjumbe wa WiseYouth, chini ya Baraza la Wazee Afrika lililopo chini ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika akiiwakilisha Kanda ya Afrika Mashariki.
Mtanzania huyo ambaye pia ni mwanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi atachangia katika kuzuia migogoro, upatanishi, na kushirikisha vijana katika juhudi za kujenga amani barani Afrika.
Uteuzi huo unathibitisha nafasi yake muhimu kama mwanadiplomasia kijana mwenye uzoefu katika masuala ya kijinsia, mabadiliko ya tabianchi, migogoro na usalama, na kumuweka mstari wa mbele katika kukuza uongozi wa vijana na amani endelevu barani Afrika.
Soma zaidi: https://t.co/zt3qp8kaZY
#HabariLeoUpdates
3. Katika mjadala wa ajenda za COP29, viongozi wa nchi, serikali, taasisi za kimataifa na washirika wao wameendelea kujadili viwango vya utekelezaji wa miradi ya kaboni chini ya Kifungu cha 6.4 cha Mkataba wa Paris. 1/2👇
#Elimikawikiendi
5. Katika mkutano wa COP27 mwaka 2022, nchi wanachama zilikubaliana kuanzisha Mfuko wa Upotevu na Uharibifu ili kusaidia mataifa yaliyoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi. 1/2 👇
#ElimikaWikiendi
8.Tanzania ktk #COP29 imeonesha nia ya kuchangia katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kutunza na kuimarisha eneo lake la hkt mil 48.1 za hifadhi ya misitu yenye uwezo wa kuhifadhi kaboni sawa na 2% ya jumla ya kaboni duniani
#Elimikawikiendi
9. Tanzania inatekeleza mkakati wa kupikia wa nishati safi salama na nafuu pamoja na mpango wa usaidizi wa kupikia Nishati safi wa wanawake wa Pan-African ambao unahitaji usaidizi wa kifedha wa takriban dola za kimarekani bilioni 4 kila mwaka ifikapo 2030.
#Elimikawikiendi
10. Maazimio ya COP29 yamesisitiza haja ya mshikamano wa kimataifa ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi huku nchi tajiri zikiimizwa kuchukua jukumu kubwa Zaidi katika kuunga mkono nchi maskini.
#Elimikawikiendi
6. Lakini pia katika Siku ya Jinsia ya #COP29, tarehe 21 Novemba viongozi wamejadili umuhimu wa mipango ya kijinsia na uwazi ili kuhakikisha kuwa wanawake wanapata rasilimali zinazowawezesha kukabiliana na changamoto za hali ya hewa.
#Elimikawikiendi
Hata hivyo, katika mkutano wa COP29, majadiliano yalihusu utekelezaji wa mfuko huo, ikiwemo masuala ya uendeshaji, vyanzo vya fedha, na jinsi msaada utakavyotolewa kwa nchi husika. 2/2
#ElimikaWikiendi
6. Lakini pia katika Siku ya Jinsia ya #COP29, tarehe 21 Novemba viongozi wamejadili umuhimu wa mipango ya kijinsia na uwazi ili kuhakikisha kuwa wanawake wanapata rasilimali zinazowawezesha kukabiliana na changamoto za hali ya hewa.
#Elimikawikiendi
10. Maazimio ya COP29 yamesisitiza haja ya mshikamano wa kimataifa ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi huku nchi tajiri zikiimizwa kuchukua jukumu kubwa Zaidi katika kuunga mkono nchi maskini.
#Elimikawikiendi
9. Tanzania inatekeleza mkakati wa kupikia wa nishati safi salama na nafuu pamoja na mpango wa usaidizi wa kupikia Nishati safi wa wanawake wa Pan-African ambao unahitaji usaidizi wa kifedha wa takriban dola za kimarekani bilioni 4 kila mwaka ifikapo 2030.
#Elimikawikiendi
8.Tanzania ktk #COP29 imeonesha nia ya kuchangia katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kutunza na kuimarisha eneo lake la hkt mil 48.1 za hifadhi ya misitu yenye uwezo wa kuhifadhi kaboni sawa na 2% ya jumla ya kaboni duniani
#Elimikawikiendi
7. UNICEF imeripoti kuwa mabadiliko ya tabianchi yanadhuru ustawi wa watoto bilioni moja kwa kuwaweka katika hatari ya magonjwa ya kuambukiza, kukwamisha elimu yao na kuwanyima lishe bora wanayohitaji ili wakue vizuri.