Baraka ulizopimiwa zinakutosha na mazingira uliyopo, ukizidishiwa zaidi ya uwezo wako kuzibebeba utaelemewa zitakufanya uharibikiwe ama utaishia kukufuru. Zipokee na uwe na moyo wa shukurani. Mwenyezimungu anayetupimia ndie anayejua stahili na kipimo chetu
#FX-NOMINEE
Ni jambo muhimu kutambua nafasi yako kwa wale unaowaita marafiki zako. Kuna tofauti kubwa kati ya watu unaofahamiana nao na marafiki. Hii huonekana wazi kupitia matendo na mienendo ya kila siku. Ni juu yako kuamua uione na uchukue hatua, au uipuuze na kuendelea kujidhalilisha.
@mpambazi Kumbe kujua kitu ni kupotosha watu tungekua tunahaja ya maandamano tungefanya bila ya kushawishiwa na yoyote leo cjui mtawaambia nn mabwana zenu