@mafolebaraka Mwandishi huyo ni mimi na kila mwana tutampa interview yake separate ( iwe rahisi ku monitor) na zitakuwa online interviews. Sio intention yetu kufanya DEBATE bali INTERVIEW.
@Bigsyke20 Sema Hii umeshindilia unaa mwingi sana, Inaitwa affiliate marketing, unalipwa commission kwa 1. Kuleta mteja 2. Mteja akinunua bidhaa. ni moja kati ya Sayansi bora za kuongeza mauzo.