enzo fernandez could have and should have been sent off,both for a dangerous strike on the back of head of another player and for multiple yellow card worthy fouls,he ref has tried his best but his best is not enough
🇪🇬 Egyptian star Ahmed Elmohamady's response to Jamie Carragher:
"Right Jamie, you’re a disgrace. Salah completely rewrote his story through hard work, humility, and world-class performances. He didn’t ‘fail’ at Chelsea.
He was never given the chance. He went to Italy, rebuilt himself, then came to Liverpool and became: a Premier League legend, Egypt’s greatest ever player, and one of the most consistent forwards of his generation.
Salah has carried Egypt for years and got Egypt qualified for the World Cup twice after so long. Salah earned everything. No wonder you got blanked by C. Ronaldo. No wonder Messi called you out. No wonder Mourinho said you were below average and not even in the top 1,000 defenders in the PL.”
#Salah
#LFC
#Egypt
VIDEO:
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameibua madai kuwa wamebaini uwepo wa wachochezi na wanaharakati wanaolipwa ili kuvuruga amani ya nchi, akidai kwamba baadhi ya vijana wanaoishi nje ya Tanzania wamepokea dola milioni mbili (sawa na shilingi bilioni 4.5) kwa ajili ya kuchochea vurugu.
Ametoa kauli hiyo akiwa katika ziara yake mkoani Arusha, leo Novemba 30, 2025 ambapo amesema uchochezi mwingi unatoka kwa watu waliopo nje ya nchi na kwamba malengo yao yamejikita kwenye rasilimali za taifa.
Ameeleza kuwa juhudi za kujaribu kuwavuruga Watanzania zinatokana na rasilimali zinazogunduliwa nchini, ikiwemo uranium ambayo Tanzania sasa inakadiriwa kuwa na tani 890,000 za ujazo, na hivyo kuwa nchi ya tisa duniani na ya kwanza Afrika.
“Wanalenga tupigane ili wachukue rasilimali. Tumeshuhudia hili likiharibu mataifa mengi ya Afrika,” amesema. Amani ikitoweka, hata karoti na nyanya za Ngarenanyuki haziwezi kuuzwa,” ameonya.
Ametoa wito kwa Watanzania kukataa kurudishwa katika vurugu, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa kupambana na umaskini na kukuza ajira nchini.
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
⛔️ Usihudhurie show zao.
⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.”
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo ngazi ya taifa, Abdul Nondo, ametoa wito wa kufanyika kwa maridhiano ya kitaifa yatakayohusisha makundi yote ya kijamii, kisiasa na kidini, huku akisisitiza kwamba serikali isiwe msimamizi wa maridhiano hayo, bali pawepo mtu wa tatu (third party) huru atakayeratibu mchakato huo.
Akizungumza na wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema maridhiano ya kweli ni lazima yahusishe wananchi wote, vyama vya upinzani, viongozi wa dini, na asasi za kiraia ili kujenga umoja wa kitaifa na uponyaji wa kijamii kufuatia matukio ya vurugu na mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Ameongeza kuwa maridhiano hayo hayawezi kufanikiwa bila kutolewa fidia kwa familia zilizopoteza ndugu, waliopata ulemavu wa kudumu, na waliopoteza mali kutokana na vurugu za kisiasa.
Nondo ametoa pia wito kwa vijana wote nchini, hususan vijana wa vyama vya upinzani, kuungana kwa mshikamano na umoja katika kipindi hiki alichokiita “cha giza nene” nchini akisisitiza umuhimu wa umoja na maombi kwa ajili ya taifa.
Dear @ManUtd ,
Here is our fellow REDS who has been brutally beaten and tortured, we beg players to win today's match just for him, hope he will be glad.
#GGMU#MUFC
Ndaro anakuja kulalamika!
Kwani ulivyokuwa unaenda kwenye mikutano yao, ulikuwa una fuata Sheria za Nchi?
Ubinafsi!!, Ubinafsi!, Ubinafsi!!,
Shame! Shame! Shame! 🚮🚮