@moodewji Nashukuru sana kwa wazo lako, hongera kwa kufikisha followers 1 million, uendelee na moyo wako huohuo, mimi wazo langu, nataka kufungua duka dogo la vyakula kwa ajili ya kuwahudumia watu, Kwa sehemu ambayo nitaishi hakuna huduma hiyo muhimu #MoGifts2020
Miaka Sita iliyopita nikiwa nasoma Chuo cha Diplomasia nilikumbana na changamoto nyingi sana za kimaisha nikaamua niandike barua ya kuacha chuo na kwenda kumkabidhi Mkurugenzi wa Chuo Dr. Bernard Achiula. Alipoisoma akatikisa kichwa akainama alipoinuka akaichana ile barua....
Red Arrows Fc kabla ya kupangwa na Simba SC, waliwatoa Primero De Agosto ambao ni mabingwa mara 13 ligi kuu Angola. Red Arrow sio timu kubwa Zambia lakini Simba SC inapaswa kuchukua tahadhari dhidi ya hawa Red Arrows.
The technical bench,the staff and the players are facing many challenges (no salaries,no allowances,daily issues...) which prevent the group from working properly. Carelessness of some people?Lack of professionnalism? Hopefully this situation will be fixed as quickly as possible.
Nchi tuisimamishe sasa hv au baadae? Dadadeki.. Ok biashara tushamaliza na hapa Hersi @Caamil8 ndio anashughulikia ATC, oooh Tholi ni ITC 😅😅
Jana mliongopewa nn vile?
We Are @yangasc1935 The Home of Champions 👌
Sijui nifanye Press au niseme humu humu, halaf wala haturingi 🤪🤪
Cha kujifunza kutoka kwa sakata la Bernard Morrison
Mosi, ELIMU na MSIMAMO wa Mchezaji, isingekuwa rahisi kwa asiefahamu vitu
Pili, waitwao "Watu wa mpira" ni wa mpira haswa, wanadunda dunda, kuwa nao Makini
Tatu, Itasukwa Propaganda kuzima hii propaganda
#UTEKELEZAJI
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemeja na watumishi wa Bonde la Wami Ruvu ktk utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuondosha watumiaji wasio rasmi mto Ruvu ambao kina chake kimepungua kutokana na ukame
Chama cha @ACTwazalendo kitakuwa na Mkutano Mkuu Maalumu tarehe 29 Januari 2022. Mkutano huo utamchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar. Vile vile tutazindua mfumo na mkakati mpya wa kufanya Siasa Nchini ili kuimarisha Demokrasia. TUNAOMBA MICHANGO YENU
“Kwa sasa vijana wengi wa Umoja wa Vijana [UVCCM] wamekuwa wapambe namba moja wa wagombea na wahangaikaji wa mambo binafsi ya viongozi na kuacha majukumu yao halisi.” - Katibu Mkuu wa CCM
We often search in all the wrong places for something to fill our insides; peace and contentment will always elude us if we don’t fill the emptiness inside with the Almighty. Build that connection.
Hoja za Ukaguzi alizoibua CAG katika Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ni nzito sana. Usimamizi wa Mradi haufuati kanuni za Utawala bora kiasi kingo za Bwawa kubomoka na kusababisha mafuriko makubwa Mwaka 2020.
It is with a heavy heart that I hear of the passing of the mother of Simba CEO Barbara Gonzalez. My thoughts and prayers are with Barbara and her family. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Zanzibar, Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo na kusema ameamua kuchukua maamuzi hayo kwa sababu ana nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama kwa ngazi ya Taifa, akichukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia
Viumbe muhimu sana ambao Simba SC imewapoteza kuelekea msimu huu. Simba SC wameuza matofauti wakati wanataka kujenga. Hamasa imeondoka na ladha ya soka lao imepungua