Kuna kazi mtu unafanya.
Zinakupa pesa.
Ila,
Sio kazi ambazo ni guarantee ya maisha ya leo, kesho na vizazi vyako.
Ni PATH ya kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.
Mfano.
Udereva wa magari yote.
Ujenzi
Boda
Agent
Dalali
Fundi wa furniture
Fundi wa AC
Uchomeleaji
Freelancing
Mawawinga
Na kazi nyingi au zote zinazokupa pesa ndogo ndogo ya kila siku.
Fikiria madereva ambao hawakujiandaa kupokea uzee wana hali gani.
Fikiria na hao wote katika uzee watakuwa na hali gani wanapo relax.
Boda mzee?
Agent wa magari mzee?
Badala yake.
Ile ni fursa ya kuandaa maisha bora ya baadae nje ya hiyo kazi.
Kwake na vizazi vyake.
Changamoto ni kwamba.
Katika umri wa ujana ambapo hizo fursa zinawapa pesa.
Watu tuna relax na kutumia pesa katika mambo ya ajabu kama.
Pombe.
Kubadili wanawake.
Kusomesha na
Kuzaa zaa among others.
Ndiomana baadae tunapata hawa wazee bodaboda.
Wazee content creator.
Wazee wa vijiweni wanaosumbua watoto wao wanaopambania familia zao.
Baadae inakuwa lawama kwa ndugu wenye kipato mpaka kugombania mirathi na mambo kama hayo.
Lengo la hii tweet ni.
Ijue kazi yako na uifikirie in 30 years to come itaendelea kukupa pesa? Kama hamna basi usi relax bro.
Normalize kutolidhika hatakama sisi wote tutakufa. Angalia watoto wako wataishije baada ya wewe kutokuwepo.
Angalia katika miaka yako 50 utakuwa umeshika nini cha kukupa pesa bila wewe kushughulika kwa nguvu.
Fanya kazi yako kama path ya kukupa kikubwa zaidi.
Save pesa kwa malengo ya kufanya kitu kikubwa zaidi.
Duka la simu linaweza kufa.
U winga unaisha.
Udalali unaisha.
U content creator unaisha
Kuwa boda au bajaji kuna mwisho.
Kuwa dereva kuna mwisho.
Sasa baada ya hapo utakuwaje? Hizo kazi zitaisha ukiwa umejenga mazingira salama bila wewe kushugulika?
Utakuwa na hardware kubwa watoto wako waendeleze?
Utakuwa na nyumba nyingi?
Utaendelea kuwa content creator?
Utakuwa na lodge nyingi?
Utakuwa ume diversify assets zako?
Pambana sasa bila kuchoka huku ukijiweka bora kwaajili ya kesho.
KULA UJANA VIBAYA UPATE TABU KUMEZA UZEE.
SHAMBULIO na Mpasuko wa Kidemokrasia: Namna Marufuku ya Katambi Ilivyomweka Wazi Samia na Anguko la 4Rs zimezikwa rasmi
Hatua ya hivi karibuni ya Katambi kuinuka na kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa ni shambulio la wazi dhidi ya demokrasia na Katiba ya nchi. Ingawa jambo hili ni baya na linapaswa kupingwa kwa nguvu zote, kwa upande mwingine ni "neema iliyojificha" (blessing in disguise) kwa Watanganyika wanaopigania haki, kwani limeweka wazi kile kilichokuwa kinafichwa kwa muda mrefu.
1. Kuanguka kwa Propaganda za Kimataifa (Kina Kabudi, Kombo, na Kikwete)
Kwa muda mrefu, serikali imetumia rasilimali nyingi kusafisha taswira yake nje ya nchi. Timu nzito ya diplomasia ikiongozwa na . Palamagamba Kabudi, Mahmoud Thabit Kombo, na Jakaya Kikwete, imekuwa ikizunguka ulimwenguni kote kuuza simulizi zifuatazo:
Kwamba Samia anafuata sheria, misingi ya kikatiba, na anasimamia demokrasia.
Kujaribu kuhalalisha na "kusafisha" dosari zilizojitokeza kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2025.
Kujitetea kwa unyonge kuhusu masuala ya utekaji na mauaji, huku wakidai suala la Tundu Lissu lipo mahakamani na serikali haina nguvu nalo.
Amri hii ya Katambi imefuta juhudi zote za timu hii ya diplomasia. Uongo wao umegonga mwamba, na sasa hawana hoja tena ya kuitetea serikali mbele ya jumuiya za kimataifa.
2. Ushahidi wa Tanzania Kuwa "Dola ya Kipolisi" (Police State)
Kufungia mikutano ya vyama vya siasa kwa kutumia amri na nguvu ya jeshi la polisi kunaondoa uhalali wa kisheria na kuonyesha kuwa nchi inaendeshwa kama Dola ya Kipolisi. Udhaifu na undumilakuwili wa amri hii unadhihirika wazi kupitia mambo yafuatayo:
Ubaguzi wa Mikusanyiko: Wakati mikutano ya vyama vya siasa ikizuiwa, vikao vya Bunge vinaendelea, ibada makanisani na misikitini zinaendelea, na wananchi wanakusanyika masokoni na kufanya shughuli zao hadi usiku wa manane.
Kisingizio Feleki cha Usalama: Ikiwa nchi ipo kwenye "nyakati za hatari" kama anavyodai Katambi, tishio la usalama haliwezi kugusa mikutano ya kisiasa pekee huku maeneo mengine yote yakiachwa wazi. Hili ni shambulio la makusudi dhidi ya mfumo wa vyama vingi.
3. Usalama wa Kuchagua na Vitisho vya Kweli Vinavyopuuzwa
Serikali inahubiri uwepo wa hatari ya mabomu na silaha, lakini ukweli unaonekana wazi:
Hakuna mkutano wowote wa chama cha upinzani uliowahi kupatikana na silaha, mabomu, au viashiria vya ugaidi.
Vitisho vya Kweli Haviguswi: Hatari halisi ambayo Katambi na Jeshi la Polisi walitakiwa kuishughulikia ni ya watu kama Mwaipopo, aliyeibuka hadharani na kutangaza kuwa ana kikundi cha "watoto wa mbwa" kinachokata watu vichwa.
Mwaipopo na kundi la Abdul (pamoja na Mwandambo) wanaotangaza vita dhahiri, wanaonekana wazi wakiwa karibu na viongozi wa CCM na hawachukuliwi hatua yoyote. Hii inathibitisha kuwa sheria inatumika kisiasa.
4. Mtazamo na Hatua za Jumuiya ya Kimataifa
Hatua hii imetafsiriwa kama ushindi wa mezani kwa watetezi wa demokrasia, kwani imemvua nguo Samia mbele ya macho ya mataifa ya nje:
Maamuzi Magumu kutoka Marekani na Ulaya: Mataifa ya Ulaya na Marekani yaliyokuwa na kigugumizi au wasiwasi mdogo juu ya tabia halisi ya utawala wa Samia, sasa yamepata thibitisho la mwisho kupitia Katambi. Hali hii inawapa nguvu mpya ya kuchukua hatua ngumu za kidiplomasia na kiuchumi dhidi ya utawala huu.
Kupasuka Kifua kwa Serikali: Dunia sasa inaona kuwa uamuzi huu umekuja baada ya Samia kupigwa "Spana" nzito na zenye hoja na chama cha CHADEMA. Kushindwa kuhimili ukosoaji kumemfanya aingie mzima mzima kushambulia demokrasia kupitia Katambi, akidhani amejificha kumbe yuko wazi kabisa.
Watanganyika, maombi yenu yana nguvu na yanajibiwa. Serikali imeishiwa hoja na sasa inatumia nguvu. Viongozi wa mikoa, wilaya, na makada wa kijani wanaendelea na mikusanyiko yao kama kawaida, jambo linalothibitisha kuwa hofu yao kuu ni nguvu ya umma na ukosoaji wa upinzani. Huu ni mwanzo wa mwisho wa propaganda zao duniani.
Mwanaume unafaa kuingia kwenye mahusiano na Siex advanced mindset sio na mentality ya kuwa rafiki Kwanza.
Usiwe rafiki wa mwanamke unateka kuwa nae kwenye mahusiano.
Pitch your intentions mwanzoni kabisa mnapoanza mawasiliano.
Epuka kuwa friendzoned.
Tongoza mwanamke sahihi anaehitaji Siex na wewe, consider some greenlights where necessary.
Rejection no Bora kuliko Friendzone.
Hakusoma Nursery alianza darasa la kwanza moja kwa moja, O-level akachaguliwa Kibaha, yeye akaenda Maua Seminary akawa TO. A-level akaenda Pugu akawa TO. UDSM pia akawa Best Student. Martin Chegere ana miaka 39 anafundisha UDSM na amekuwa miongo mwa Maprofesa vijana wachache TZ.
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Ujumbe Kutoka Kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania 🇹🇿 Bara John Heche.
✍️👇
🗣️”Watanzania msiogope, Nchi hii ni ya kwetu sote... Tunaipenda na wote tunatamani kuishi maisha yenye staha na heshima.
Kwa mda mrefu kikundi cha watu wachache wanatumia rasimali na utajiri wa Nchi yetu kwa manufaa yao wenyewe na familia zao.
Vijana wengi hawana ajira wakemata tamaa, hawana matumaini tena na familia nyingi zinateseka na kuishi maisha duni sana. Nyumba wanazokaa watu wetu, hali ya maji, umeme na miundombinu ni duni sana. Elimu za watoto wetu na hata hospitali zetu bado ni za chini mno.
Manyanyaso, mateso, utekaji, wizi, hujuma na kukosekana kwa haki, vimegeuzwa kuwa mambo ya kawaida kwenye Nchi hii.
Tunataka yote haya yafike mwisho, hili ni Taifa teule la Mungu, lazima liongozwe kwa heshima na nidhamu sio uhuni na vitisho.
Wakati ni sasa, msiogope ushindi uko karibu.”
#MeaMswahiliUPDATES
#TajiriLaKihaya
Sema Maisha yanaenda Kasi saaana saana!
Kitambo kidogo… ilikua Jumapili kama hii…
Unaingia pale PHOTO DUMPS za Fundi…
Pale kwenye Quotes unakutana na Greatness tupu… unaingia Dm
Mbili tatu- unaileta kati!
Sikuhizi pale NDUME zimejaa… ukiona picha ya Chakula kali unavutiwa unadhan ni manzi ukiifuatilia vizuri kumbe ni SHOGA🤣
What happened to ManHood💔💔?
Unakuwa introvert kiasi kwamba hata kujipost unaogopa😁😁
Nina huyo mwanangu siku akijipost we tega tu saa hazipiti dakika kumi ashaishusha post.
Na mwana ni mnyamwezi kichizi ila nadhani super introvert mindset na anamiliki iphone 17 pro max.
Simu ambayo wakimkabidhi Msambinungwa anageuka Kiredio ndani ya siku moja🙌😁
Wakili wa kujitegemea Edson Kilatu amesema tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi halisadifu hali ya ulinzi na usalama nchini bali ni la kisiasa.
"Mei, Juni na Julai Tanzania imeingiza mafuta kwa bei juu kuliko nchi nyingine zote za Afrika Mashariki"- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, akizungumza na wananchi wa Tabora Mjini jana Ijumaa Juni 27, 2026.
Kutoka Jangwani Kariakoo, hadi Atlanta, Georgia USA. Mtu aliyekuwa anatangazwa na sauti ya radi ya Mpenja leo anatajwa na Peter Drury. Fiston Mayele amefunga kwenye mashindano makubwa ya dunia na ametetema akiwa USA. Afrika imeweka historia, timu 9 kati ya 10 zimefuzu 32 bora.
Huu mradi wa SGR kadogosa lazima atakuja kutupa majibu mazuri.
Tuliambiwa Haya madubwasha yake yana POWER BANK ila kila siku ukikatika umeme na yenyewe safari zimeishia hapo.
KADOGOSA JIANDAE KUTUPA MAJIBU.