ππ πππππππππππππππ
Ndani ya #TransferTalk ya @YangaSCTV
Ricardo Momo amefunguka kuhusu Professor wa Boli @pacom_zouzoua
Episode ya 4 ya #TransferTalk inakusubiri wewe Mwananchi ndani Yanga TV (youtube)ππ½
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mfumo upi utamfaa Conte kwenye kikosi cha Yanga? Huyu hapa George Ambangile akichambua kwa kina usajili huu ndani ya kikosi cha Wananchi.
#TransferTalk
Video kamili inapatikana Yanga TV(youtube)
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko