As a doctor If you sabotage a life at these critical moments in one way or the other, You need to re-evaluate your choices in this medical field, and more important your humanity.
The decision to treat lies in your hands and no one else - Stay safe, strong and save lives🇹🇿❤️
@MarekaMalili Nadhani ifike mahali tukubaliane haya mambo ya ndoa tuachane nayo kama tulivyoachana na mila zingine mbovumbovu kama kukeketa
Ni mtazamo wangu tu
Ndugu baada ya ‘kuwaokota’ vijana zaidi ya 400 kwa mujibu wa sheriq ulizoambatanishq hapo chini,
Swali la msingi ni:
Hizo kesi zaidi ya 400 ziko mahakama zipi?
Hiyo ndiyo tofauti pekee ya ‘ kuokotwa’ na kutekwa.
Idadi ya ‘waliokotwa’ - idadi ya waliopanda mahakamani = idadi ya waliotekwa
@MalkiaTabasamu Mshahara wa daktari bila makato (gross - asikatwe chochote ) wa mwaka mzima nikikuambia haununui ist utaniamini?
Ist hii used ya japan ya mwaka 2005 hela haifiki.
@notyoursManka@agmwasanga Unahisi kukosewa wodini (tena private ward) ila unakuja kutoa malalamiko X (mtandaoni)
Na akili yako inakuambia kwamba bado una lavarage ya kuchagua jibu gani upewe?
Family social history hapa ndipo inapofanya kazi
Unaanzaje kumconvice breadwinner wa familia kwamba leo haendi kutafuta mkate wake eti kwa uangalizi?
Hatujaongelea limited resources ambazo hazitoshi kumhudumia ipasavyo kila mtu - hizi uangalizi admissions ni kwa ward zipi na manpower ipi?
Ni kwa sababu hizi kuna mwaka mmoja ama zaidi wa internship kutoka medical school to practice : translation medicine : from books to people of that specific community
This is another reason why internship is localized. Huwezi kutumia internship ya Malawi kufanya usajili Tz
Nzuri ya level yako haimaanishi ndio nzuri ya standard
Na hata kwa level yako inaonesha sio nzuri ndio maana uko hapa mtandaoni unalalama.
Pesa ikutumikie, isikutumikishe
Poor service? just pack and move.
Get an air ambulance to Cornel, Mayo - Rochester or Sinai NY.
Epukana na hizi adha ndogondogo
Hata hoteli ziko za viwango tofauti
Huduma ileile ya chakula au malazi lakini katika viwango tofauti kabisa.
Hata Uber au Bolt wanakupa option za usafiri viwango tofauti.
There is no exception ndugu,
Kinachofanya hotel A kuwa na huduma kiwango kizuri ni kilekile kinafanya hospitali A kuwa na huduma kiwango kizuri, na kinyume chake ni sawa.
Kiwango cha uwekezaji, vifaa, taaluma, maslahi ya wafanyakazi, usimamizi, nk.
Kubadili maelfu sio rahisi, ni heri ujibadili wewe - next time choose a better hospital as you would do to a hotel, a phone, basi la kwenda mkoani, nyumba nk.
@DhruvMundhraYT Have two doors which never open at same time.
One for medical science, and one for religion
Just because, one is fact and the other is fiction (but a good fiction - keeps you bahaved)
@depedrodeniss Kukwepa vipindi darasani ni mbaya sana.
Ila kuhusu vipi taaluma na maarifa ya ‘udaktari’ yanapatikana, nikuondoe hofu.
Ukicalculate vizuri kwa mazingira yetu hapa nyumbani, it is not that of a big deal
Nashindwa kukuelewesha vizuri nini hasa nataka kusema lakini ndio hivyo
Sayansi ni ukweli usio na shaka na dini ni imani za masimulizi na mapokezi.
There is no logic or factual ‘know how’ in religion and it remains so - just believe it happened, may happen and will happen.
For a better purpose of you being good, there is no problem with that.
BUT, usilete imani pahala panapotendwa mambo halisia.
Keep fictions out of facts.
Keep your beliefs out of hospitals
Keep your beliefs out of kitchen
Keep your beliefs out of anything to do with mechanics
Keep your beliefs out of anywhere science is being discussed or done.
Objective facts and subjective facts ni facts mbili tofauti
Moja haibadiliki na moja inabadilika kulingana na mtu, mazingira na kadhalika.
Dini ni subjective truth ndio maana ziko nyingi na kila moja inalenga kumpeleka binadamu kwa Mungu wa dini hiyo (imani na riwaya za kusadikika zisizopokea mabadiliko- fiction)
Sayansi ni objective truth
Ni ileile kwa kila mtu - it has never been a fiction na inapogundulika ina mapungufu inapokea mabadiliko.
Hata ulaani, ulie au ubeze sayansi ya mawimbi ya sauti, au ya matibabu ya magonjwa ni ileile na hata haijali manug’uniko yako.
Huelewi unajokizungumza kwa ufinyu wako wa kutafuta maarifa.
The Berlin Patient - just google tu ingekutosha kujua wapo waliopona ukimwi kwa matibabu.
You can rely your information on heresay in this era or older information - just regular update will have saved you from this embarrasment.
Idiot🤐
https://t.co/cTQ17WqwX0
Unachooleza ni ufinyu wako wa kutambua nini kilitokea au kinatokea
1- kupona ukimwi ni undetectable viral load (nenda kapima ELISA now upatane na good news)
2- mwenza kutopata ukimwi wakati mwenza mwingine anao sio miujiza - wako wengi wanaitwa discordant couples (nenda kliniki yoyote ya CTC watakupa skuli) na ni sayansi ya jinsi VVU huambukizwa - sio hivyo tu hata mtoto wa waathirika tena wazazi wote wawili ambao wanazaliwa bila VVU ni lukuki
3- kuumwa mgongo na kupona baada ya kumpokea bwana sio muujiza - ni Somatic Sypmptom Disorder - a very common diagnosis kwa watu wa umri uliokua nao wakati huo sekondari. Matibabu yapo na hayahusiani na uokovu.
Yote uliyozungumza hakuna muujiza hata mmoja, ni wewe umeamua kuutafsiri hivyo (au umetafsiriwa hivyo)
Na la msingi
Hospitali ya mkoa, rufaa au ya Taifa kama ndio kipimo cha mwisho wa sayansi basi unachohitaji sio wokovu, unahitaji kuitembea dunia tu (exposure).
God of Gaps
When you justify your God when science has yet to explain, we call it God of scientific gaps
Thats how many gods ceased to exist and they will be fewer gods as science advances
- God of rainfall
- God of fertility
- God of bullshit
Get the fictions out of facts, religion out of science
You want a kid - you fuck
You fuck raw, opposite sex and at good timing
You do this and you don’t get a kid, you see scientist and they help you fuck better, or they simplify your fucking journey
This is called science
No faith, no night prayers, no greeting your ancestors while kneeling - it is pure science
Everything else is fiction and has nothing to do with being pregnant.
Faith as a religion has never been on same room with science, and will never
Faith is fiction - science is facts
The only ‘faith’ existing’ in science is ‘probability’ which is pure mathematical facts
Getting a firstborn at 40 is a fact, based on science with low mathematical probabilities.
No supernatural power, No faith, no Prayers, No teething, No Night prayers has to do anything with that.
@mwasandubejr@Iam_Malunguja Kauli hii inaashiria how small is your world in terms of knowledge and exposure.
Nakuombea ufunguliwe milango ya dunia ujionee maisha nje ya yale unadhani ndio standard.
Amen