@TheOtherDelo_ Bana campus kuna time nilisota ,after kuona nitakufa nilitime landlord ikabidi nikate ndizi yake ,kumbe bibi yake alikuwa sitting room kwake na akaniona nikiingia na ndizi kwa keja yangu .Aliita landlord wakanitoa nje na ndizi buana😭😭😭 ile aibu niliona wacha tu ,,,,,,,