@ze_mandevu Boss ni tatizo kwan ni leo tuh nimetoka toa bikra charge mpya kabisa nalala naamka nakuta majanga na mbaya zaid imetoka Waya imeacha charge system Kwa kichwa cha charge๐
@Alex_komba00 Leo ninja yuko apo tayar anatengeneza formula yake nzuri yakusimama yeye mwenyewโฆ
Sometimes we need push tuwez fika pale tunaitaj kufika๐
@eastafricatv Brother nyumba kwan iyo nyumba yawez nipa mkopo ama ata faida kwakuweza pangisha na nikiwa na mjengo basi pesa ya gar kali itapatikan2๐๐ด๐ฟ