@masoudkipanya mzee kipanya,badilisha show ya mbele,sio attractive kabisa ,ukifanya ivo utauza izo gari mpaka ushangae..vijana wengi hapa tz wanaeza kukufanyia design ya aina yako kwa bei rahisi mno
MMEJIONA SASA KUWA HAMUELEWEKI MNATAKA NINI EEE!!? YANI NI HAMJUI MNACHOKITAKA!!
Wapo waliotekwa wakarudi wakiwa hai, wakachagua kukaa kimya, mkawakebehi/mkawadhihaki/mkawa-bully/mkavuka na mipaka mkawatusi kwa kuwaambia walibakwa wakarekodiwa ndomana hawaongei tape zitavujishwa!!
That’s Nonsense
Mkawa mnawa-harass mkitaka waongee, waseme sababu, wataje wahusika.
Hata tulipojaribu kutumia ART (music) ku-address hizo issues na sababu na wahusika, bado mkasema hamna kitu hapa, anaficha ficha huyu kawa muoga.
Hata baada ya kutekwa ilipotoka Zimbabwe mkasema huyu sio tuliyemzoea, humu kaongea kwa upole sana, anatakiwa AWACHANE/AWANYEE!!
Leo ametokea mwanangu Edgar @Sativa255 Amepitia tena makubwa zaidi, akaamua kufanya yale yale mliyokuwa mkiwataka wengine wayafanye…..
Akaamua kutokukaa kimya akafunguka, akawataja wahusika kwa majina, akawaonyesha na picha, akaanza kukipaka kama mlivyokuwa mnataka.
Akatoa na wimbo akakipaka kama mlivyotaka, kila Tweet zake 10, basi 8
anakiwasha na ushahidi anawapa, kama mnavyotaka!!
Mbaya zaidi shauri lake halisikilizwi wala kufanyiwa kazi.
LEO MNAPIGA U-TURN MNAMGEUKA TENA YEYE NA KUMWAMBIA AACHE,ASIWE AGGRESSIVE,ASIENDELEE KUONGEA,AKAE KIMYA.
Tena wengine mnamkebehi mnamuona hayuko sawa tukio lilimuathiri!!
That’s Nonsense
SASA NYIE NDIO HAMKO SAWA KICHWANI!!
MNAZINGUA SANA RAIA, HAMJUI MNACHOKITAKA. AM SORRY TO SAY THIS, BUT KUNA WATU KAMA MANYUMBU TU….flag FATA UPEPO.
Haya mambo ni rahisi kuya-judge kwenye keyboard tu, lakini tema mate chini usiombee uya-experience.
Jaribio la kuporwa uhai, then urudi hai na uone aliyetaka kukupora uhai yuko salama na anatamba…NYIE ACHENI KABISA NYIE!!
Oi @Sativa255 Endelea kuishi chafu yangu ukishukuru/ukisifu na kuutukuza utukufu wa Mungu🙏
Salimia familia maskani….
Be Safe AllDay Homeboy!!