Me sio kama nachagua sana wanawake
Me nachagua mtu ambae nitae-mkabidhi maisha yanguโฆ
Me sitafuti mtu wa kunifurahisha hisia zangu bali
Me natafuta mama bora wa wanangu
Me sio kama nachagua sana wanawake
Me nachagua mtu ambae nitakabidhi maisha yanguโฆ
Me sitafuti mtu wa kunifurahisha kufurahisha hisia zangu bali
Me natafuta mama bora wa wanangu
Story za Mpira upo
Story za Siasa upo
Story za Vita upo
Story za Dini upo
Story za Uchumi upo
Story za Maadili upo
Story za Hovyo upo
Story za Mademu
Wewe ni nani? ๐คฃ๐คฃ