Kibaruani kuna mengi.
Umbea umeanza kuovertake kile kilichowapeleka watu kibaruani.
Jamaa angu @nyaki_tza ambae ni mtaalamu wa masuala ya usimamizi wa Rasilimali Watu anasema na mimi nakubaliana nae kwa 100% kwamba umefika wakati sasa taasisi zianzishe anti-gossip policy/Sera za
please join me in wishing my wife, @zahratunda, a very happy birthday. zahara’s an incredible woman and by all accounts very exceptional. at the same time she’s a no nonsense mother who helps keep assad and anwar in line. forever grateful for her love and support ❤️🫶🏾:
Mazingira yako ya kazi ni fumbo au dira ya mafanikio?
Mtaalamu wa HR anafichua yote kwenye kitabu kipya: "KIBARUANI"
Jenga tija, utu, na utamaduni bora ofisini kwako!
Bei: 10,000/=
Nunua hapa: https://t.co/2HejPbqnwI
Hard copy: 0687572254
#Kibaruani#kitabuchataifa
@Roma_Mkatoliki Zanzibar ni nchi, kwenye Jamuhuri ya Muungano na Wazazibar vizazi na vizazi hawajalisahau hilo na level ya utaifa ni kubwa kulingana na upande mwingine wa Muungano.
@Roma_Mkatoliki Na tangia historia ya vyama vingi Zanzibar kimekuwa kitovu cha mabadiliko ya kisiasa na upinzani wa kweli usiotetereka. Kwa mara ya kwanza Tanzganyika imepata kiongozi wa upinzani TLS ambae hajamfikia Maalim kwa kukubalika kwa asilimia nyingi sana
@Roma_Mkatoliki Nyumba za ibada zimekuwa sehemu muhimu ya kusukuma agenda za kisiasa ambazo zinawafika walengwa moja kwa moja, leo Wanzibar wakisema wanataka kitu fulani kwa njia ya maandamano kesho wote utawakuta barabarani.
@Roma_Mkatoliki Kuanzia miaka ya 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 historia ya Zanzibar inajieleza vyema kwenye ushiriki wa watu kudai haki na mabadiliko, Wazanzibar wamekuwa watu wa kufanya kweli na sio kupiga kelele mitandaoni, mikutano ya hadhari, hamasa ya nyumba kwa nyumba, vijiwe vya kahawa n.k
@Roma_Mkatoliki Kaka @Roma_Mkatoliki na wengine ambao wamejaribu kuchangia kuhusu jinsi Wanzanzibar wanaendesha mijadala ya kisiasa.
Zanzibar imejengwa tofauti na kwenye historia za kudai haki wamedhirisha kwa miaka kadhaa na wamefanikiwa mbali kulinganisha na Tanganyika.
Leading the discussions and movement towards a better business environment in Zanzibar and its Blue Economy.
Join us at the next event.
Click the link in our bio to register today.
The Official Launching Ceremony of the Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter.
We look forward to spearheading the discussions and enedeavours towards an optimal business environment in Zanzibar and its Blue Economy.
Thank you to all our sponsors & members
@Chizzodrama Chagua ngoma zenye muendelezo za huyo jamaa kwa mfano, Stan uje piga Bad guy ambayo Mathiew ameshakua anaelezea hasira zake na kutaka kulipa kisasi kwa ajili ya kaka ake Stan. Zipo na ngoma zingine kiufupi Eminem ni fundi kwenye ngoma za mwendelezo na ngoma zinazojibu ngoma zake
@Chizzodrama Story ya Wimbo wa Stan ni kali sana ila nadhani umeirefusha sana kiasi mtu akiwa hajawahi skia anapotea njiani. Kazi nzuri endelea kujinoa kwenye kusimulia